Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,074
- 1,037
Mnakumbuka tuna madeni mengi lakini?Ivory Coast Kiswshili chake ni Pwani ya Pembe, katika somo la Geography si mnakumbuka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnakumbuka tuna madeni mengi lakini?Ivory Coast Kiswshili chake ni Pwani ya Pembe, katika somo la Geography si mnakumbuka!
Lakini hayaui, kama nilivyosema dawa yake ni kulipa.
Kulipa deni kwa wakati ni kujiongezea heshima uungwana.Lakini hayaui, kama nilivyosema dawa yake ni kulipa.
Uungawana ni kuchutama ukivuliwa nguo.
Kuelewa somo la hesabati shuleni, wengi wetu tumeshindwa
Tumeshindwa wote kwa pamoja kuchagua mshindi. Kaka ake Mzima?Kuelewa somo la hesabati shuleni, wengi wetu tumeshindwa
Mzima huishi kwa kujilinda. Hivi hadi leo kwanini hamkubali kama mimi ndo mshindi...?Tumeshindwa wote kwa pamoja kuchagua mshindi. Kaka ake Mzima?
Mshindi ni wewe kumbe. Hongera zakoMzima huishi kwa kujilinda. Hivi hadi leo kwanini hamkubali kama mimi ndo mshindi...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zako hbr vipi dadake, mi mzima nashukuruMshindi ni wewe kumbe. Hongera zako
Nashukuru kama umzima kaka ake. Tupo tunalijenga TaifaZako hbr vipi dadake, mi mzima nashukuru
Taifa linahitaji nguvu yetu ili lisonge mbele, uhongere kwa hiloNashukuru kama umzima kaka ake. Tupo tunalijenga Taifa
Hilo la kujenga taifa ndo jambo la msingiTaifa linahitaji nguvu yetu ili lisonge mbele, uhongere kwa hilo
Msingi wa mafanikio ni jitihada yako
Yako nguvu na kujituma ndo itadhihirisha yote hayoMsingi wa mafanikio ni jitihada yako
Hayo uliyoyaona mbona madogo
Madogo kwako ila kwa wengine makubwa sanaHayo uliyoyaona mbona madogo
Madogo usiyadharau, yakikomaa hayatatukiHayo uliyoyaona mbona madogo
Yakikomaa hayatatuki zaidi ya kuumiza kichwaMadogo usiyadharau, yakikomaa hayatatuki