Akhy D
JF-Expert Member
- Jun 10, 2013
- 361
- 420
Kichwa kikichoka kila kitu hakiwiYakikomaa hayatatuki zaidi ya kuumiza kichwa
Kichwa kikichoka kila kitu hakiwiYakikomaa hayatatuki zaidi ya kuumiza kichwa
Hakiwi na dawa yake ni kupumzikaKichwa kikichoka kila kitu hakiwi
Kichwa kikichoka, hakiwezi kufikiri sawasawa.Yakikomaa hayatatuki zaidi ya kuumiza kichwa
Sawasawa,leo jumatatu ya mwisho wa mwezi huu
lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
maisha magumu siku hizi bar panaongeza mawazo
Kesho mungu akipenda ni ijumanneYanayowezekana leo yasingoje kesho
Ijumanne labda siku nyingine, bali kesho ni Jumanne
Huru kimawazo na kifikra.Jumanne ijayo nitakuwa huru
Jibu la swali lipiKifrika na kiafrika ni ndugu? ila na wasiwasi na wewe unaweza usinipe jibu.
swali lipi linakera zaidi ukiulizwa na mpenzi wako
Jana na leoMpenzi wako alikuja kwangu jana
Leo ndiyo JumaaneJana na leo
Jumaane kumbe. Shikamoo mzee..Leo ndiyo Jumaane
Mzee sijambo na niliamka salama, binti hujambo nawe?Jumaane kumbe. Shikamoo mzee..
Nawe bbc? Nani binti mi mzee mwenzio ujueMzee sijambo na niliamka salama, binti hujambo nawe?
Mzee sijambo na niliamka salama, binti hujambo nawe?
Nawe kumbe ulikuwepo pale.?
Ujue emmyta kubishana barabarani sipendi, ungekuwa nyumbani ningekujibu!Nawe bbc? Nani binti mi mzee mwenzio ujue
Ningekujibu basi, mi ningekaa tu kimya. Mzima?Ujue emmyta kubishana barabarani sipendi, ungekuwa nyumbani ningekujibu!