Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,075
- 74,487
Haiwezekani kwa kweli umeshafika umri wa kupambana na ndicho kilichobaki kwa sasa.Tena saiv ningependa nirudi niwe mdogo ila haiwezekani
Sasa, maisha yamekuwa magumu bila kupambana itakula kwakoHaiwezekani kwa kweli umeshafika umri wa kupambana na ndicho kilichobaki kwa sasa.
Kwako kama kwangu cha muhimu kupambanaSasa, maisha yamekuwa magumu bila kupambana itakula kwako
Kupambana na hali yako ndiyo msemo uliyoshika kasi mitandaoni sikuhizi.Kwako kama kwangu cha muhimu kupambana
Siku hizi misemo mingi kuna ule mwingine usemao mwanaume mashineKupambana na hali yako ndiyo msemo uliyoshika kasi mitandaoni sikuhizi.
Mashine ya kusaga ngano yauzwa bei gani?Siku hizi misemo mingi kuna ule mwingine usemao mwanaume mashine
Bei gani unaweza nunua. Mana bei yake sio kubwa sanaMashine ya kusaga ngano yauzwa bei gani?
Wasiwasi kubwa sana..! Ulitekwa na nani?Dada yake naye karidhika wala hana wasiwasi
Kidimu ndio nini?Anababaikia hongo kama yule muuza uji wa pale kidimu
Nani aliniteka? Hata sijatekwa na mtu kaka ake. Nipo nimejaa tele. Mzima?Wasiwasi kubwa sana..! Ulitekwa na nani?
Mzima wa afya kabisa...? Habari za kazi?Nani aliniteka? Hata sijatekwa na mtu kaka ake. Nipo nimejaa tele. Mzima?
Za kazi nzuri kabisa namshukuru M'Mungu. Nimekumiss tu kaka angu natumai umzima wa afya.Mzima wa afya kabisa...? Habari za kazi?
Kazi sio mbaya kibaya kuibaMzima wa afya kabisa...? Habari za kazi?
Afya yangu iko pouwa sana. You are so missed ....Za kazi nzuri kabisa namshukuru M'Mungu. Nimekumiss tu kaka angu natumai umzima wa afya.
Kuiba kuzuri ila ikudakwa unakufa kihuni.
Kihuni huni mbele ya wazee ni kukosa adabuKuiba kuzuri ila ikudakwa unakufa kihuni.
Missed calls zangu kwani hujaziona kaka ake. Tupo kaka tunaliendesha gurudumu la maendeleo.Afya yangu iko pouwa sana. You are so missed ....
Maendeleo ni muhimu ila pia kuswasiliana ni muhimu zaidi.Missed calls zangu kwani hujaziona kaka ake. Tupo kaka tunaliendesha gurudumu la maendeleo.
1 hour sio mbali ujue. Okay! i'm waiting my brother. Ila usiniache kwenye mataa.Maendeleo ni muhimu ila pia kuswasiliana ni muhimu zaidi.
Nakupigia baadaye for 1 hour.