Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,069
- 4,263
Nene lenye sauti za ajabu na vilio vya bundi .Huu ni usiku Wa Giza nene
Nene lenye sauti za ajabu na vilio vya bundi .Huu ni usiku Wa Giza nene
Bundi huakinika akilia kwenye boma lenu kuna mtu anakufa msemo wa wahengaNene lenye sauti za ajabu na vilio vya bundi .
Wahenga walisema bora baya lisilo kudhuru kuliko jema lisilo na faidaBundi huakinika akilia kwenye boma lenu kuna mtu anakufa msemo wa wahenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida hupatikana baada ya kutoa matumiziWahenga walisema bora baya lisilo kudhuru kuliko jema lisilo na faida
Matumizi makubwa ya saloon yanamaliza hela bora ninyoe
Ninyoe nywele zangu hapana mie huwa situmi hela nyingi kuzitengenezaMatumizi makubwa ya saloon yanamaliza hela bora ninyoe
kuzitengeneza kwa hela nyingi kutampa hasara mume wakoNinyoe nywele zangu hapana mie huwa situmi hela nyingi kuzitengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako wengi sana wanao ipenda yangakuzitengeneza kwa hela nyingi kutampa hasara mume wako
Mayai ya kware adimu siku hizi
Dolo ni pale unapokua huna hata miasiku hizi bila ubunifu umelala dolo.
Utakimbia mwenyewe mimi nakomaa hapa hapa mjinimia sasa hivi ina umuhimu wake, bila kutumbia u-Bongo Bongo utaikimbia!!
Mjini shuleUtakimbia mwenyewe mimi nakomaa hapa hapa mjini
Shuleni kuna mambo nikikumbuka nacheka mwenyeweMjini shule
Mwenyewe nikikumbuka huwa nacheka ila ndio hivyo hayawezi jirudia tena.Shuleni kuna mambo nikikumbuka nacheka mwenyewe
Tena saiv ningependa nirudi niwe mdogo ila haiwezekaniMwenyewe nikikumbuka huwa nacheka ila ndio hivyo hayawezi jirudia tena.