Faru fausta ni mchumba na faru johnOne of the most known rhinoceroses that are occupied at the south of sahara desert is Faru Fausta
Sent using Jamii Forums mobile app
John Pombe Magufuri, rais wa awamu ya tano wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.Faru fausta ni mchumba na faru john
Tanzania ni nchi ya amaniJohn Pombe Magufuri, rais wa awamu ya tano wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.
Amani inafaida gani wakati unyumba sipati.Tanzania ni nchi ya amani
Sipati picha wewe usemaye hupati unyumba una umri gani!Amani inafaida gani wakati unyumba sipati.
Umri gani unahisi anaweza sema hivyo. Kama ameoa basi anahaki ya kulalamikaSipati picha wewe usemaye hupati unyumba una umri gani!
Kulalamika kuhusu unyumba ni suala mtambuko.Umri gani unahisi anaweza sema hivyo. Kama ameoa basi anahaki ya kulalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtambuko au mtambuka...ndoa ndoana arizolo alipeleka mashitaka kwa Baba paroko.Kulalamika kuhusu unyumba ni suala mtambuko.
Paroko wa parokia ipi?Mtambuko au mtambuka...ndoa ndoana arizolo alipeleka mashitaka kwa Baba paroko.
Ipi njia sahihi ya kuwasilisha malalamiko yako, JF?Paroko wa parokia ipi?
Jf inapokea malalamiko kupitia emails so watumie huenda ikasaidiaIpi njia sahihi ya kuwasilisha malalamiko yako, JF?
Ikasaidia kupata ufumbuzi wa matatizo.Jf inapokea malalamiko kupitia emails so watumie huenda ikasaidia
Ikasaidia nini wakati Bombardier yetu haina wa kuisaidiaJf inapokea malalamiko kupitia emails so watumie huenda ikasaidia
Kuisaidia inabidi serikali ilipe deni.Ikasaidia nini wakati Bombardier yetu haina wa kuisaidia
Deni dawa yake ni kulipa na wala siyo kupiga chenga
Chenga za timu pinzani zimesababisha Arsenal kufungwa goli 4Deni dawa yake ni kulipa na wala siyo kupiga chenga
Kufungwa goli 4 ktk mpira si ajabu sana. Stars pia ilipigwa 4 o'clock Ivory Coast.Chenga za timu pinzani zimesababisha Arsenal kufungwa goli 4
Ivory Coast Kiswshili chake ni Pwani ya Pembe, katika somo la Geography si mnakumbuka!Kufungwa goli 4 ktk mpira si ajabu sana. Stars pia ilipigwa 4 o'clock Ivory Coast.