bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Bingwa wa mara ya pili au?Mgomo upo kwa sababu hakuna bingwa
Bingwa wa mara ya pili au?Mgomo upo kwa sababu hakuna bingwa
Au nini tena, hamjambo wote?, Bingwa wa nini tenaBingwa wa mara ya pili au?
Tena kagoma kabisaaa ili apatikane bingwa!!Au nini tena, hamjambo wote?, Bingwa wa nini tena
Tena kagoma kabisaaa ili apatikane bingwa!!
Wadau, Kituko huyu mwamsikia?Bingwa si mimi bado mnasumbuka tu?, pumzikeni wadau
Mwamsikia na bbc naye?..Wadau, Kituko huyu mwamsikia?
Naye emmy yaelekea ndiyo kati ya wale waliogoma, nyumbani umekwenda?Mwamsikia na bbc naye?..
Umekwenda kwani wewe. Ndio nimekwenda asubuhi.Naye emmy yaelekea ndiyo kati ya wale waliogoma, nyumbani umekwenda?
Asubuhi sikuenda bali niliwahi kibaruani, jioni nitajitahidi nifike.Umekwenda kwani wewe. Ndio nimekwenda asubuhi.
Nitajitahidi nifike hata mie. Japokuwa kuna watu wana ujio ambao wakifika watu wameshakula hadi wamelalaAsubuhi sikuenda bali niliwahi kibaruani, jioni nitajitahidi nifike.
wamelala usingizi wa pono au wamelala mahala pema peponiNitajitahidi nifike hata mie. Japokuwa kuna watu wana ujio ambao wakifika watu wameshakula hadi wamelala
wamelala usingizi wa pono au wamelala mahala pema peponi
Roma mkatoliki
Mkatoliki, hata Baba wa Taifa alikuwa Mkatoliki kwa kuzaliwa.Roma mkatoliki
Kuzaliwa mjini form sixMkatoliki, hata Baba wa Taifa alikuwa Mkatoliki kwa kuzaliwa.
Chuo kikuu kuna maisha mengi
Mengi wa makampuni ya IPP?Chuo kikuu kuna maisha mengi