Biobenga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 394
- 533
Kazi hii ndo inaniweka mjini.Muuza karanga. Hahaaaaa. Kazi ni kazi
Kazi hii ndo inaniweka mjini.Muuza karanga. Hahaaaaa. Kazi ni kazi
Mjini mipangoKazi hii ndo inaniweka mjini.
Sahihi kabisa.
Sahihi kabisa ni kumuomba Mungu atufanikishe ktk hiyo mipangoSahihi kabisa.
Hiyo mipango niliyoipanga nikifanikiwa nitafurahi sana.Sahihi kabisa ni kumuomba Mungu atufanikishe ktk hiyo mipango
Nitafurahi sana kusikia Tanzania imeingia ktk uchumi wa viwandaHiyo mipango niliyoipanga nikifanikiwa nitafurahi sana.
Viwanda vyenyewe ni vya kuhesabu ndio mana hilo linashindikana.Nitafurahi sana kusikia Tanzania imeingia ktk uchumi wa viwanda
Limeshindikana kwasababu halija tiliwa mkazo, maneno mengi kuzidi vitendoViwanda vyenyewe ni vya kuhesabu ndio mana hilo linashindikana.
Vitendo bila kuchelewa hiyo ni siri ya mafanikio katika kazi.Limeshindikana kwasababu halija tiliwa mkazo, maneno mengi kuzidi vitendo
Kazi ni kazi bbc.Vitendo bila kuchelewa hiyo ni siri ya mafanikio katika kazi.
bbc anakubaliana nawe emmyta, mradi mkono uende kinywani.Kazi ni kazi bbc.
Bbc sijui uliwaza nini kujiita hivoKazi ni kazi bbc.
Hivo hivyo mi pia huwa najuilizaBbc sijui uliwaza nini kujiita hivo
Najiuliza sana kuhusu mambo mengi humu jf lakini sipati majibuHivo hivyo mi pia huwa najuiliza
Najiuliza emmyta hujambo wewe dadaHivo hivyo mi pia huwa najuiliza
Najiuliza pia kwamba inakuwaje ni dingi halafu mtoto! "bbc" born before computers, ajabu ee!Hivo hivyo mi pia huwa najuiliza
Ee ni ajabu ndioNajiuliza pia kwamba inakuwaje ni dingi halafu mtoto! "bbc" born before computers, ajabu ee!
Ndio nini sasa kukaa kimya namna hii, kuna mgomo?Ee ni ajabu ndio
Mgomo upo kwa sababu hakuna bingwaNdio nini sasa kukaa kimya namna hii, kuna mgomo?