bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Ndiyo, masahihisho yanakubalika.Mwelevu ndio mwerevu si ndio
Ndiyo, masahihisho yanakubalika.Mwelevu ndio mwerevu si ndio
Yanakubalika ndio haswa pale neno linakosa maana. Mzima?..Ndiyo, masahihisho yanakubalika.
Mzima emmy najua tutaonana "nyumbani"Yanakubalika ndio haswa pale neno linakosa maana. Mzima?..
Mzima ndio nzima eeenh?Yanakubalika ndio haswa pale neno linakosa maana. Mzima?..
Eenh. We nawe ndio kiswahili kagi hicho. bbc nimecheka mie ujue.
Ujue unaweza panda ila wakavuna wengine?Eenh. We nawe ndio kiswahili kagi hicho. bbc nimecheka mie ujue.
Ujue emmy umechomekea neno " kagi" halafu unacheka!Eenh. We nawe ndio kiswahili kagi hicho. bbc nimecheka mie ujue.
Inacheka nini sasa wakati ni typing error pale namaanisha gani bana.Ujue emmy umechomekea neno " kagi" halafu unacheka!
Bana hizi simu za kubofya kazi kweli kweli, si wewe tu, utadhani unabofya "a" kumbe "s"Inacheka nini sasa wakati ni typing error pale namaanisha gani bana.
Kumbe "s" for snake. Ila mi nina kinokia cha tochiBana hizi simu za kubofya kazi kweli kweli, si wewe tu, utadhani unabofya "a" kumbe "s"
Tochi usiku bana mchana ya nini?Kumbe "s" for snake. Ila mi nina kinokia cha tochi
Nini unamaanisha bbc. Natumia tu wala sina neno.Tochi usiku bana mchana ya nini?
Nini unamaanisha bbc. Natumia tu wala sina neno.
Giza ni sehemu au mahali pasipo na mwangaNeno tochi lina maana kile kifaa cha kumulikia. Nakupa hongera una simu yenye tochi kwa ajili ya usiku/penye giza!
Mwanga na mchawi hukumu yao mojaGiza ni sehemu au mahali pasipo na mwanga
Moja kwa moja naanza kuwasalimia.Mwanga na mchawi hukumu yao moja
Kuwasalimia kabla ya kunisalimia mimi haipendeziMoja kwa moja naanza kuwasalimia.
Haipendenzi kabisa. Nakusalimia sasa mzima?
Mzima japo nimeiba salamu ya muuza ubuyu, mi muuza karanga.Haipendenzi kabisa. Nakusalimia sasa mzima?
Muuza karanga. Hahaaaaa. Kazi ni kaziMzima japo nimeiba salamu ya muuza ubuyu, mi muuza karanga.