bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Differentiate kati ya kahawa na chai katika maji ya moto ili upate kinywajiYangu akili naijua mwenyewe pale linapokuja swali la ku intergrate na ku differentiate.
Differentiate kati ya kahawa na chai katika maji ya moto ili upate kinywajiYangu akili naijua mwenyewe pale linapokuja swali la ku intergrate na ku differentiate.
Kinywaji gani unapenda bbc, agiza nitalipa.Differentiate kati ya kahawa na chai katika maji ya moto ili upate kinywaji
Agiza nitalipa na kinywaji chako piaKinywaji gani unapenda bbc, agiza nitalipa.
Pia nashukuru aisee. Mzima?Agiza nitalipa na kinywaji chako pia
Mzima mimi kabisaa natumai uko poa piaPia nashukuru aisee. Mzima?
Pia sijambo kabisa.Mzima mimi kabisaa natumai uko poa pia
Kabisa kabisaPia sijambo kabisa.
Kabisa nakusalimia kabla hujatokomea bbc. Mzima?..Kabisa kabisa
Mzima haswaa nakuhofia wewe. Nitokomee wapi miye! Jana mlitokomea mapema kidogo nijitangazie mshindi[/]Kabisa nakusalimia kabla hujatokomea bbc. Mzima?..
Nijitangaze mshindi mara ngapi. Ila una mbwembwe bbc mara maneno uyaweke rangi mara uyalaze mmh. HongeraMzima haswaa nakuhofia wewe. Nitokomee wapi miye! Jana mlitokomea mapema kidogo nijitangazie mshindi[/]
Hongera nazipokea emmy, mbwembwe hizo umezisahau wakati ule wa "kula sili, kulala silali nk au hukupita kule. Mimi ni muhenga!Nijitangaze mshindi mara ngapi. Ila una mbwembwe bbc mara maneno uyaweke rangi mara uyalaze mmh. Hongera
Muhenga hutenda kwa hekima kila jamboHongera nazipokea emmy, mbwembwe hizo umezisahau wakati ule wa "kula sili, kulala silali nk au hukupita kule. Mimi ni muhenga!
Muhenga? Wahenga ni sisi bbc tunaokaribia 50yrs sio wewe bana.Hongera nazipokea emmy, mbwembwe hizo umezisahau wakati ule wa "kula sili, kulala silali nk au hukupita kule. Mimi ni muhenga!
Bana, emmy utaanza kuongea ukweli lini?Muhenga? Wahenga ni sisi bbc tunaokaribia 50yrs sio wewe bana.
Lini nilikudanganya bbc?Bana, emmy utaanza kuongea ukweli lini?
bbc ana mashaka na uhenga wako!Lini nilikudanganya bbc?
Wako kama wanne tu ambao naweza lingana nao jf nzima. Mi muhenga bana bbc.bbc ana mashaka na uhenga wako!
bbc hivi inarusha matangazo yake kutoka wapiWako kama wanne tu ambao naweza lingana nao jf nzima. Mi muhenga bana bbc.


Nayo umeijumuisha, duh

