Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kidogo nistuke kwamba hutalala, kumbe wasema bado kidogo kulala! Mi bado mpaka nisikilize taarifa za hapa kwetu, BBC nk.
Nk nilistaajabu sana baada ya kugundua kuwa niliyemfuata hakuwa mwenyewe, moyo ulisononeka sana, nilijawa na hofu kiasi kwa nilishindwa nifanyeje, lakini mawazo yalinijia kichwani na nikaamua kuachanana naye kwani haikuwa riziki yangu
 
Yangu akili naijua mwenyewe pale linapokuja swali la ku intergrate na ku differentiate.
 
Back
Top Bottom