Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,459
Duuh. Hajalewa kaka ake. Ila ameshaelewa sasaNayo umeijumuisha, duh
nafight with my weather![]()
Duuh. Hajalewa kaka ake. Ila ameshaelewa sasaNayo umeijumuisha, duh
nafight with my weather![]()
Sasa umeanzwa utani, vijana wa juzi tu hapa nao Wahenga!Duuh. Hajalewa kaka ake. Ila ameshaelewa sasa
Wahenga ni kuanzia miaka mingapi kwani bbc naomba nielewesheSasa umeanzwa utani, vijana wa juzi tu hapa nao Wahenga!
Nieleweshe wewe kama unabishaWahenga ni kuanzia miaka mingapi kwani bbc naomba nieleweshe


Hahaaaa. Inakuwaga hivyo saa nyingine ila sijuagi nini kinasababisha.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nafight with my weather![]()
Kinasababisha asipatikane mshindi yaani kukaa kimya namna hii, hata wewe afadhali nipewe ushindi halafu uzi ufungweHahaaaa. Inakuwaga hivyo saa nyingine ila sijuagi nini kinasababisha.
Ufungwe tatu bila kisha Useme TMk halisi ni Noma ya TMK Wanaume.Kinasababisha asipatikane mshindi yaani kukaa kimya namna hii, hata wewe afadhali nipewe ushindi halafu uzi ufungwe
Ufungwe tatu bila kisha Useme TMk halisi ni Noma ya TMK Wanaume.
Hiki ni kipindi cha ukweli na uwazi.Wanaume hata nyie mmechoka kiasi hiki!
Uwazi wengine hawaupendi kabisaHiki ni kipindi cha ukweli na uwazi.
Kabisa nakwambia bbc ujue Keyon kaususia uzi wetu siku hizi ujue.Uwazi wengine hawaupendi kabisa
Ujue majukumu yametinga hivyo nilikuwa napita Jf napiga chabo tu..hali ya sasa imekuwa ngumu inapaswa tujifunze ngumu roho.Kabisa nakwambia bbc ujue Keyon kaususia uzi wetu siku hizi ujue.
Roho ya paka wanasema ngumu sana. emmy ndo umeamka au ...Ujue majukumu yametinga hivyo nilikuwa napita Jf napiga chabo tu..hali ya sasa imekuwa ngumu inapaswa tujifunze ngumu roho.
Umeamka au ulikuwa hujalala. Wala sijalala aisee. Ila bbc leo umeadimikaRoho ya paka wanasema ngumu sana. emmy ndo umeamka au ...
Umeadimika zaidi wewe kuliko mimi.Umeamka au ulikuwa hujalala. Wala sijalala aisee. Ila bbc leo umeadimika
Mimi nipo bbc napambana na hali yanguUmeadimika zaidi wewe kuliko mimi.
Yangu uyaone tu. Shughulika na ya kwako kwanzaMimi nipo bbc napambana na hali yangu
Kwanza tushughulike mengine baadaye mwaonaje!