Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,118
- 122,535
Kinyume chako bbc unachelewa kulala na kuamka pia pole sana. Siku mkuu atakapokuja na kukuta meza yako ofisini haina mtu ndio hapo utakapoisoma namba.Nayo Ijumaa hii nadhani itakuwa nzuri. Nimeamka emmy, wewe unawhi kulala na kuamka pia lakini mimi ni kinyume chako
Umeshaanza uchokozi ndio ni wakati huo huo