God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Mwaonaje mlivyoamka leo wanandugu.Kwanza tushughulike mengine baadaye mwaonaje!
Mwaonaje mlivyoamka leo wanandugu.Kwanza tushughulike mengine baadaye mwaonaje!
Wanandugu tumeamka salama kwa huruma za Mwenyezi Mungu, wengine naona bado hawajaamka!Mwaonaje mlivyoamka leo wanandugu.
Hawajaamka hadi saa hizi bbc mmh. Basi wanazo aisee. Mzima?Wanandugu tumeamka salama kwa huruma za Mwenyezi Mungu, wengine naona bado hawajaamka!
Hawajaamka hadi saa hizi bbc mmh. Basi wanazo aisee. Mzima?
Emmyta anakunyima chai, firigisi na bagia. Karibu bbc. Mi niko poa kabisa.Mzima mie wasiwasi kwako na wanaJF ambao hawajaamka. Waninyimani emmyta?
Emmyta anakunyima chai, firigisi na bagia. Karibu bbc. Mi niko poa kabisa.
"Utanipa hunipi" alisikika mume akimwambia mke wake. Njoo ntakununulia bbc sio kukupa.Kabisa kabisa! Firigisi napenda, nikikuomba sijui utanipa?
Sio kukupa tu, hata kukunulia sitokunulia pia."Utanipa hunipi" alisikika mume akimwambia mke wake. Njoo ntakununulia bbc sio kukupa.
Waungwana wamebaki wachache sana dunia hii.Mzima ukiwa watembea wagonjwa wako hispitali. Mi pia sijambo waungwana
Dunia hii waungwana hawataisha, hata ukamilifu wa dahari.Waungwana wamebaki wachache sana dunia hii.
Humu ndani wazima kabisa. Tupo tunalijenga TaifaDunia hii waungwana hawataisha, hata ukamilifu wa dahari.
Mimi ni mzima daderi wangu emmy.....nmetokea tena kuwajulia hali ninyi nyote humu ndani.
Taifa ya Jang'ombe ni timu ya mpira wa miguu kule visiwani, na inabamba kweli kweli siku hizHumu ndani wazima kabisa. Tupo tunalijenga Taifa
Siku hizi maisha magumuTaifa ya Jang'ombe ni timu ya mpira wa miguu kule visiwani, na inabamba kweli kweli siku hiz
Magumu maji yasiyokolea sabuni harakaSiku hizi maisha magumu
Haraka haraka haina barakaMagumu maji yasiyokolea sabuni haraka
Baraka za wazazi huwapata wana walio kunjika.Haraka haraka haina baraka
Waliokunjika ndio wana gani kaka ake?Baraka za wazazi huwapata wana walio kunjika.
Kaka ake emmy ni mfano wa mwana aliyekunjika; Yaani aliyeoneshwa akatazama, aliyeambiwa akaambilika, aliyeonywa akaonyeka, n.k. Huyo baraka za wake wazazi huwa mwamvuli wake daima.Waliokunjika ndio wana gani kaka ake?