Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Darasa la nne nilikuwa na miaka tisabarua ya mwanzo niliandika nikiwa darasa la nne
Darasa la nne nilikuwa na miaka tisabarua ya mwanzo niliandika nikiwa darasa la nne
miaka tisa darasa la nne basi kumbe wewe ni mtoto wa digitaliDarasa la nne nilikuwa na miaka tisa
Miaka tisa nyuma nilimaliza shule ya msingi.Darasa la nne nilikuwa na miaka tisa
Shule ya msingi ngarenaro Arusha shule yangu hiyo nimesoma naikumbuka iko karibu na soko la Kilombero
Kilombero, ungalimited, sakina kwa iddi nimeikumbuka hiyo mitaaShule ya msingi ngarenaro Arusha shule yangu hiyo nimesoma naikumbuka iko karibu na soko la Kilombero
Mitaa ya Unga Limited, Kilombero nk la saba mwaka gani huo rmmyta?Kilombero, ungalimited, sakina kwa iddi nimeikumbuka hiyo mitaa
Mitaa yetu utakuja kutembelea liniKilombero, ungalimited, sakina kwa iddi nimeikumbuka hiyo mitaa
Lini sijui maana huku vyuma vimekaza ila nitakuja tu panapo majaaliwaMitaa yetu utakuja kutembelea lini
Majaaliwa ya muumba wetu wa mbingu na nchiLini sijui maana huku vyuma vimekaza ila nitakuja tu panapo majaaliwa
nchi ya kusadikika inafanana sana na nchi ya wana makinikiaMajaaliwa ya muumba wetu wa mbingu na nchi
Nchi ya Tanzania ni ya kipekee sanaMajaaliwa ya muumba wetu wa mbingu na nchi
Sana pale unapoambiwa watu wake hawana furaha kuliko wengine DunianiNchi ya Tanzania ni ya kipekee sana
Duniani tumetofautiana kama sasa mengine wamelala, wengine wapo macho, wengine majumbani wengine makazini hii dunia we acha tu iitwe duniaSana pale unapoambiwa watu wake hawana furaha kuliko wengine Duniani
Dunia no mojawapo ya sayari zilizungukalo juaDuniani tumetofautiana kama sasa mengine wamelala, wengine wapo macho, wengine majumbani wengine makazini hii dunia we acha tu iitwe dunia
Jua kwamba kumeshakucha bbc amka ukalijenge Taifa.Dunia no mojawapo ya sayari zilizungukalo jua
Taifa la Burma huzalisha mpunga kwa wingi.Jua kwamba kumeshakucha bbc amka ukalijenge Taifa.
Wapendwa hatujambo japokuwa walio wengi wako kwenye maandalizi ya kwenda kujumuika. Niambie kaka ake mzima?Taifa la Burma huzalisha mpunga kwa wingi.
Habari za kuyumuka wapendwa
Mzima kabisa daderi ake, habari za masiku, za kuwadoji, za maisha...Wapendwa hatujambo japokuwa walio wengi wako kwenye maandalizi ya kwenda kujumuika. Niambie kaka ake mzima?
Maisha yanakwenda hivyo hivyo mdogo mdogo tunapambana nayo.Mzima kabisa daderi ake, habari za masiku, za kuwadoji, za maisha...
Nayo Ijumaa hii nadhani itakuwa nzuri. Nimeamka emmy, wewe unawhi kulala na kuamka pia lakini mimi ni kinyume chakoMaisha yanakwenda hivyo hivyo mdogo mdogo tunapambana nayo.