James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,196
- 15,546
Kuwa mTanzanania ni kitu cha kujivunia haswaa kwa upande wangu.Ndugu mtanzania mwenzangu hivi unajivunia kuwa mtanzania?
Kuwa mTanzanania ni kitu cha kujivunia haswaa kwa upande wangu.Ndugu mtanzania mwenzangu hivi unajivunia kuwa mtanzania?
Mtanzania nisiye kula matunda ya kodi iliyokusanywa jasho la wananchiNdugu mtanzania mwenzangu hivi unajivunia kuwa mtanzania?
Upande wangu pia najivuniaKuwa mTanzanania ni kitu cha kujivunia haswaa kwa upande wangu.
Wangu, mimi ni mzima nadhani pia hujamboKuwa mTanzanania ni kitu cha kujivunia haswaa kwa upande wangu.
Hujambo na wewe pia ?Wangu, mimi ni mzima nadhani pia hujambo
Pia na emmyta hajamboHujambo na wewe pia ?
Hajambo kweli mzima wa afyaPia na emmyta hajambo
Afya zetu watanzania ni mgogolo ila hatujijuiHajambo kweli mzima wa afya
Hatujijui kwa sababu hatuna kawaida ya kufanya vipimoAfya zetu watanzania ni mgogolo ila hatujijui
Vipimo ni muhimu ila nadhani wengi hawafanyi sababu ya gharama. Umaskini huu looh!!Hatujijui kwa sababu hatuna kawaida ya kufanya vipimo
Umasikini huu lol. Ila sio masikini peke yao wapo ambao pia wana uwezo wa kuweza kufanya hivyo ila bado hawana kawaida hiyo. Watanzania tunahitaji kubadilika.Vipimo ni muhimu ila nadhani wengi hawafanyi sababu ya gharama. Umaskini huu looh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubadilika kama wenzetu wa Zambia mpaka VVU ni lazima kupima.Umasikini huu lol. Ila sio masikini peke yao wapo ambao pia wana uwezo wa kuweza kufanya hivyo ila bado hawana kawaida hiyo. Watanzania tunahitaji kubadilika.
Kupima ingekuwa lazima bbc sijui ungejifichia wapi?Kubadilika kama wenzetu wa Zambia mpaka VVU ni lazima kupima.
. Au ndio ungeenda bila wogawoga wako ndo umasikini wakoKupima ingekuwa lazima bbc sijui ungejifichia wapi?![]()
![]()
. Au ndio ungeenda bila woga
Wako ambao ni waoga lakini mimi huwa naenda kwa kujiamini kabisa.woga wako ndo umasikini wako
Kabisa inatoka moyoni au unatupiga kamba. Ila hongera zako bbc una moyo wako.Wako ambao ni waoga lakini mimi huwa naenda kwa kujiamini kabisa.
Wako katika ujenzi wa taifa, maneno hayo hutumika sana kwenye baruaKabisa inatoka moyoni au unatupiga kamba. Ila hongera zako bbc una moyo wako.
barua ya mwanzo niliandika nikiwa darasa la nneWako katika ujenzi wa taifa, maneno hayo hutumika sana kwenye barua