Wazima atii, aje weyee daderi akeUtaelewa ni jinsi gani naipenda jf. Wazima?..
Daderi ake God Heals hajambo kabisa mzima wa afya anamshukuru allah kwa kumpa nguvu na uzima. Sijui wewe kaka ake. Salama?Wazima atii, aje weyee daderi ake
Salama humu jf""emmytaDaderi ake God Heals hajambo kabisa mzima wa afya anamshukuru allah kwa kumpa nguvu na uzima. Sijui wewe kaka ake. Salama?
Emmyta hajambo mzima wa afya. Anakusalimia hujambo?Salama humu jf""emmyta
Hujambo nimefurahia sikia hivyo dadang wa ukwelii"""ninamiss quote zakoEmmyta hajambo mzima wa afya. Anakusalimia hujambo?
Zako ziko wapi kaka nami nikazioneHujambo nimefurahia sikia hivyo dadang wa ukwelii"""ninamiss quote zako
Utaziona tu dada muda si mrefu kama makinikiaZako ziko wapi kaka nami nikazione
Makinikia hivi yaliiishia wapiUtaziona tu dada muda si mrefu kama makinikia
Wapi na wapi tumebakeza makontena ya michanga tuMakinikia hivi yaliiishia wapi
Sana sana inahitaji akili ya ziada katika maleziTu toto twa siku hizi tuna mambo sana
Malezi sahihi ya pande zote mbili yaani baba na mamaSana sana inahitaji akili ya ziada katika malezi
Mama ni mamaMalezi sahihi ya pande zote mbili yaani baba na mama
Mama tu, hata baba ni baba!Mama ni mama

Baba ni baba? Mmh. Haya bwana bbc. Umeshindaje?Mama tu, hata baba ni baba!![]()
emmyta umeshindaje nawe pia? Habari za mihangaiko?Baba ni baba? Mmh. Haya bwana bbc. Umeshindaje?
Mihangaiko ndo tunaianza upya bbc. Mzima?emmyta umeshindaje nawe pia? Habari za mihangaiko?