Mzembe ki vipi bbcSembe ukiila unakuwa mzembe
bbc anakusalimia emmy, anauliza saa hizi uko wapi aje kuifuata sambusa?Mzembe ki vipi bbc
Sambusa? Za nini sasa, mimi huwa situmiibbc anakusalimia emmy, anauliza saa hizi uko wapi aje kuifuata sambusa?
situmii vitu vyenye alcoholSambusa? Za nini sasa, mimi huwa situmii
Alcohol ndiyo chakula cha aina gani?situmii vitu vyenye alcohol
Chakula cha aina gani unasemea bbc. Niko hapa jirani na unapokaa nimekuletea hizo sambusa.Alcohol ndiyo chakula cha aina gani?
Sambusa za nyama, kabichi au mchanganyiko, emmyta?Chakula cha aina gani unasemea bbc. Niko hapa jirani na unapokaa nimekuletea hizo sambusa.
Emmyta hawezi kuletea sambusa za kabichi bana. Sambusa za nyama ndio kaja nazoSambusa za nyama, kabichi au mchanganyiko, emmyta?
Nazo hizi avatar zetu hizi, mbona aliyeleta sio wewe ni mwingine kabisa wala hata hamfanani!Emmyta hawezi kuletea sambusa za kabichi bana. Sambusa za nyama ndio kaja nazo
kaja nazo ila usipokua makini atazila zoteEmmyta hawezi kuletea sambusa za kabichi bana. Sambusa za nyama ndio kaja nazo
Zote asipokuwa makini narudi nazo.kaja nazo ila usipokua makini atazila zote
Nazo hizi simu za kubofya kukosea kuko njenje, subiri emmyta usirudi nazo, mwachie mlinzi hapo nje.Zote asipokuwa makini narudi nazo.
Mlinzi hapo nje nshamwachia kazi ni kwako sasa.Nazo hizi simu za kubofya kukosea kuko njenje, subiri emmyta usirudi nazo, mwachie mlinzi hapo nje.
Sasa emmyta na wewe umemwachia mlinzi halafu kazi iwe kwanguMlinzi hapo nje nshamwachia kazi ni kwako sasa.

Kwangu nimeona sawa. Kazi ni kwako kwenda kuzichukua na kulaSasa emmyta na wewe umemwachia mlinzi halafu kazi iwe kwangu![]()
![]()
Kula chakula bora unajenga mwili na kuepuka na magonjwaKwangu nimeona sawa. Kazi ni kwako kwenda kuzichukua na kula
Magonjwa hudhoofisha afya ya binadamuKula chakula bora unajenga mwili na kuepuka na magonjwa