Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Binadamu wote ni sawaMagonjwa hudhoofisha afya ya binadamu
Binadamu wote ni sawaMagonjwa hudhoofisha afya ya binadamu
Sawa ila tumetofautiana kitabia, kiumbo hata kiakili jua hiloBinadamu wote ni sawa
Hilo tunalitambua bila chengaSawa ila tumetofautiana kitabia, kiumbo hata kiakili jua hilo
Chenga za mchele utengenezewa vitumbuaHilo tunalitambua bila chenga
Vitumbua ni vitafunwa ninavovi pendaChenga za mchele utengenezewa vitumbua
Ninavo vipenda mi pia ila saa nyingine kuna wapishi wanavijaza mafuta hadi vinakinaisha kulaVitumbua ni vitafunwa ninavovi penda
Kula kutamu ukipata msosi uliopikwa ukapikika mashaallahNinavo vipenda mi pia ila saa nyingine kuna wapishi wanavijaza mafuta hadi vinakinaisha kula
Mashaallah, watu wa tanga wanajua mambo hadi upishiKula kutamu ukipata msosi uliopikwa ukapikika mashaallah
Upishi sikuhizi mpaka sisi wanaume tunapikaMashaallah, watu wa tanga wanajua mambo hadi upishi
Tunapika kwa kweli tupeni hongera zetuUpishi sikuhizi mpaka sisi wanaume tunapika
Zetu sifa hazizidi zenuTunapika kwa kweli tupeni hongera zetu
Zenu zina tofauti sana na zetu ujueZetu sifa hazizidi zenu
Ujue wewe unatakiwa ukalale saa hizi!Zenu zina tofauti sana na zetu ujue
Hizi ulizoacha hapa zinaitwajeUjue wewe unatakiwa ukalale saa hizi!
Zinaitwaje sambusa kwa lugha ya kwenu.Hizi ulizoacha hapa zinaitwaje
Wapenzi mimi ndio mshindi naomba mnipe zawadi zangu......mwisho wa discussionZinaitwaje sambusa kwa lugha ya kwenu.
Nawasalimu wapenzi....
Discussion kwa kiswahili ni majadilianoWapenzi mimi ndio mshindi naomba mnipe zawadi zangu......mwisho wa discussion
Majadiliano ya nini tena mbona umekuja kuniharibia......ebu niache nichukue zawadi zangu.....asanteni sana kwa kujaribu kushiriki....muito obrigadoDiscussion kwa kiswahili ni majadiliano
Obrigado ndio nani huyo,usipaniki huu uzi mpaka mshindi apatikane sio leo wala keshoMajadiliano ya nini tena mbona umekuja kuniharibia......ebu niache nichukue zawadi zangu.....asanteni sana kwa kujaribu kushiriki....muito obrigado
Kesho napewa zawadi zangu na itabidi uanze kusoma kiportuguese ndo utaelewaObrigado ndio nani huyo,usipaniki huu uzi mpaka mshindi apatikane sio leo wala kesho