Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,459
Wameanza kuchoka ukiwemo na wewe bbc. Nimekuta sehemu eti huwa unatuona wachangiaji wa huu uzi. Aisee bbc we ni kiboko.Lini, haijulikani lakini naona watu wameanza kuchoka.
Wameanza kuchoka ukiwemo na wewe bbc. Nimekuta sehemu eti huwa unatuona wachangiaji wa huu uzi. Aisee bbc we ni kiboko.Lini, haijulikani lakini naona watu wameanza kuchoka.
Kiboko ni mnyama asipenda kuchokozwa. Wakuu nipo natumai ni wazima woteWameanza kuchoka ukiwemo na wewe bbc. Nimekuta sehemu eti huwa unatuona wachangiaji wa huu uzi. Aisee bbc we ni kiboko.
Wazima wote sijui wewe kaka ake. Mzima?Kiboko ni mnyama asipenda kuchokozwa. Wakuu nipo natumai ni wazima wote
Kaka ake mzima kabisaa...yupo fit anapambana na life natumai pia uko poaWazima wote sijui wewe kaka ake. Mzima?
Poa kabisa kwa upande wangu nalijenga tu Taifa.Kaka ake mzima kabisaa...yupo fit anapambana na life natumai pia uko poa
Taifa la Tanzania lina hitaji watu kama wewe kufikia ktk Tanzania ya ViwandaPoa kabisa kwa upande wangu nalijenga tu Taifa.
Viwanda vidogo vodogo ndio suluhisho la ajira kwa wanyonge.Taifa la Tanzania lina hitaji watu kama wewe kufikia ktk Tanzania ya Viwanda
Wanyonge tunyongeni ila haki yetu tupatieni""miss yuu emmytaViwanda vidogo vodogo ndio suluhisho la ajira kwa wanyonge.
Emmyta amekumiss pia. Za kuadimika?Wanyonge tunyongeni ila haki yetu tupatieni""miss yuu emmyta
emmyta nawe pia umezidi kuwahi kwendalala kiasi kwamba jioni huchangii ipasavyo kwenye uziWanyonge tunyongeni ila haki yetu tupatieni""miss yuu emmyta
Za kuadimika nzuri tu ila ...... weweEmmyta amekumiss pia. Za kuadimika?
Uzi hachangii muda mwingine majukumu mkuu bbcemmyta nawe pia umezidi kuwahi kwendalala kiasi kwamba jioni huchangii ipasavyo kwenye uzi
bbc auliza majukumu gani hayo, ya ulezi au ....!Uzi hachangii muda mwingine majukumu mkuu bbc
Wewe Arsenalism 89 nimekufanyaje jamani hadi unashindwa kumalizia manenoZa kuadimika nzuri tu ila ...... wewe
Au nini? Nikikwambia bbc we mchokozi huwa hutaki. Mzima?bbc auliza majukumu gani hayo, ya ulezi au ....!
Maneno fanani ningemaliza ila je hadhira ingepokeaje emmytaWewe Arsenalism 89 nimekufanyaje jamani hadi unashindwa kumalizia maneno



Maneno fanani ningemaliza ila je hadhira ingepokeaje emmyta![]()
umefanya la maana kweli mana watu wangekushangaa sana.Ulezi au mtama ni mzuri kuliko sembebbc auliza majukumu gani hayo, ya ulezi au ....!
Sembe sio nzuri kwa afya.Ulezi au mtama ni mzuri kuliko sembe