Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,459
Official hours ya kutoka kazini kwa watumishi wa umma ni saa tisa na nusuKazi sio lazima iwe official
Jamii Forums mobile app
Official hours ya kutoka kazini kwa watumishi wa umma ni saa tisa na nusuKazi sio lazima iwe official
Jamii Forums mobile app
Saa tisa na nusu! Mna raha sana, sisi wengine ni kumi na mbili jioni, na haina mjadala..... kidogo ijumaa ndo ahueni.Official hours ya kutoka kazini kwa watumishi wa umma ni saa tisa na nusu
Nyote mnaochangia natumai muwazima. Mi sijambo kaka ake. Mzima?Saa tisa na nusu! Mna raha sana, sisi wengine ni kumi na mbili jioni, na haina mjadala..... kidogo ijumaa ndo ahueni.
Zaidi mu wazima ninyi nyote
Mzima wa afya daderi ake, baridi tu huku ndo ishu. Nachungulia tu kutokea kwa blanketNyote mnaochangia natumai muwazima. Mi sijambo kaka ake. Mzima?
Blanket hujaliacha tu kaka ake mpaka saa hizi au leo huwajibikiMzima wa afya daderi ake, baridi tu huku ndo ishu. Nachungulia tu kutokea kwa blanket
Huwajibiki kwa maana ya kudoji(kadri ya manenoyo)!Hapana, daderi ake nipo likizo takribani wiki sasa, nipo kwa mababu na mabibi huku nasimuliwa hadithi. Sasa nishazoea joto la mjini, huku ni kinyume chake....Blanket hujaliacha tu kaka ake mpaka saa hizi au leo huwajibiki
Chake chake kule ZanzibarHuwajibiki kwa maana ya kudoji(kadri ya manenoyo)!Hapana, daderi ake nipo likizo takribani wiki sasa, nipo kwa mababu na mabibi huku nasimuliwa hadithi. Sasa nishazoea joto la mjini, huku ni kinyume chake....
Huku JF twamshukuru Allah tu wazima, hofu kwako tu mkuuHatari lakini salama, mmeamka salama jamani humu JF?
Mkuu ni pamoja na mimi. Sawa bwana kaka ake nimekuelewaHuku JF twamshukuru Allah tu wazima, hofu kwako tu mkuu
Ujue mi kaka nimekuelewa zaidiNimekuelewa ujue
Jamii Forums mobile app
Zaidi naona kama mnaniacha mjueUjue mi kaka nimekuelewa zaidi
Mjue sisi tupo kazini. Tunakuacha wapi tena kaka ake. Sema...Zaidi naona kama mnaniacha mjue
Sema wakati wa chai utakula niniMjue sisi tupo kazini. Tunakuacha wapi tena kaka ake. Sema...
Utakula nini mchana kaka ake. Mi asubuhi ntakunywa chai na andazi moja na sambusa.Sema wakati wa chai utakula nini
Jamii Forums mobile app
Sambusa ndio niniUtakula nini mchana kaka ake. Mi asubuhi ntakunywa chai na andazi moja na sambusa.