bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Sambusa ongeza angalau ziwe mbili nami niipate moja.Utakula nini mchana kaka ake. Mi asubuhi ntakunywa chai na andazi moja na sambusa.
Sambusa ongeza angalau ziwe mbili nami niipate moja.Utakula nini mchana kaka ake. Mi asubuhi ntakunywa chai na andazi moja na sambusa.
Moja itakutosha kweliSambusa ongeza angalau ziwe mbili nami niipate moja.
Moja itakutosha bbc na mwili wako huoSambusa ongeza angalau ziwe mbili nami niipate moja.
Huo uchokozo sasa emmy, mwili wenyewe huu mbona hautofautiani sana na wako. Wiki end watu wajificha wapi!Moja itakutosha bbc na mwili wako huo
Wapi wanajificha mi pia nashangaa. Kama @ James comey ndio haonekani kabisaa ye ni kulike tu. Mi na wewe bbc nani huwa mchokozi.Huo uchokozo sasa emmy, mwili wenyewe huu mbona hautofautiani sana na wako. Wiki end watu wajificha wapi!
Mchokozi zaidi wewe emmy, halafu mimi mwoga hujui tu. Sambusa vipi tayari nije?Wapi wanajificha mi pia nashangaa. Kama @ James comey ndio haonekani kabisaa ye ni kulike tu. Mi na wewe bbc nani huwa mchokozi.
Tayari nije" anauliza bbc. Kaka alibakari nisaidie kumjibu mana bbc hasikiagi sambusa ujue mana atafanya juu chini mpaka agaiwe.Mchokozi zaidi wewe emmy, halafu mimi mwoga hujui tu. Sambusa vipi tayari nije?
Agaiwe tu usipofanya hivyo anaweza kula kwa "picha". Ushawahi kula ugali kwa picha ya samaki?Tayari nije" anauliza bbc. Kaka alibakari nisaidie kumjibu mana bbc hasikiagi sambusa ujue mana atafanya juu chini mpaka agaiwe.
Picha ya samaki huku nakula ugali sijawahi ila nasikia kuna kabila fulani ndio tabia yaoAgaiwe tu usipofanya hivyo anaweza kula kwa "picha". Ushawahi kula ugali kwa picha ya samaki?
Wabahili kweli hao watu. Jamani habari za humu ndani siku ya leooo.
Leoo niko busy, kwa nini unanichokozaWabahili kweli hao watu. Jamani habari za humu ndani siku ya leooo.
Sana sana watu watasema wako bize. Nani kakuchokoza tena mkuu mwifwa
Tutaonana baadae, maana hamtaki kunielewa
Ndotoni huwa nawaoneni wote mnaochangia uzi huuBaadae watu tutakuwa kwenye usingizi,kama sio wa 7 ni wa 8,tutaonana vp, au ndotoni?
Sent using Jamii Forums mobile app

Lini, haijulikani lakini naona watu wameanza kuchoka.