Akhy D
JF-Expert Member
- Jun 10, 2013
- 361
- 420
Weye!Jioni hii niko mzima wa afya kabisa. Sijui weye?
Heee.. wala usiulize niko poa, hapa namalizia siku
Weye!Jioni hii niko mzima wa afya kabisa. Sijui weye?
Siku ndio ishaisha hapa tuko kwenye maandalizi ya jumatatuWeye!
Heee.. wala usiulize niko poa, hapa namalizia siku
Jumatatu ni siku ya mwanzo katika wiki ila ni siku ambayo wanafunzi hawaipendiSiku ndio ishaisha hapa tuko kwenye maandalizi ya jumatatu
Hawaipendi watu wengi hadi na mkulu piaJumatatu ni siku ya mwanzo katika wiki ila ni siku ambayo wanafunzi hawaipendi
Pia wafanyakazi nao wanaichukiaHawaipendi watu wengi hadi na mkulu pia
Wanaichukia na kuipenda pia, kutegemeana na umuhimu wa siku yenyewe, na iliyopita.Pia wafanyakazi nao wanaichukia
Iliyopita ilikua nzuri kuliko hii ndo maana wanaifumbia macho saana.Wanaichukia na kuipenda pia, kutegemeana na umuhimu wa siku yenyewe, na iliyopita.
saana ni sanaa ya makinikiaIliyopita ilikua nzuri kuliko hii ndo maana wanaifumbia macho saana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makinikia nayatungia pini...
pini code ya kimeo changu nimeisahauMakinikia nayatungia pini...
Nimeisahau siku niliyolia kwa muda mrefupini code ya kimeo changu nimeisahau
Muda mrefu nilikuwa nataka kujua umeamkajeNimeisahau siku niliyolia kwa muda mrefu
Umeamkaje kaka ake. Mzima?Muda mrefu nilikuwa nataka kujua umeamkaje
Jamii Forums mobile app
Mzima, alhamdulillah, vp wewe dadaUmeamkaje kaka ake. Mzima?
Dada yako hajambo kabisa yupo njiani kielekea kulijenga Taifa.Mzima, alhamdulillah, vp wewe dada
Jamii Forums mobile app
Taifa letu tutalijenga wenyewe kwa kuchapa kaziDada yako hajambo kabisa yupo njiani kielekea kulijenga Taifa.
Kazi ni kaziTaifa letu tutalijenga wenyewe kwa kuchapa kazi
Jamii Forums mobile app