sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
utafika mapema iwapo una juhudiHasa unapokuwa na climbing gears utafika mapema
utafika mapema iwapo una juhudiHasa unapokuwa na climbing gears utafika mapema
Juhudi na malengo ndio sir ya mafanikioutafika mapema iwapo una juhudi
mafanikio na nidhamu ya kazi/pesa ni mapacha waliounganaJuhudi na malengo ndio sir ya mafanikio
Walioungana kwa dhati katika nyanja ya kiuchumi lazima watakuwa na marndeleo makubwamafanikio na nidhamu ya kazi/pesa ni mapacha walioungana
WA mwisho si ndo mimi sasa...Habari wanaJF,
Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
sasa wewe umetoka kolomije huko unakuja kutuharibia uziWA mwisho si ndo mimi sasa...
sasa wewe umetoka kolomije huko unakuja kutuharibia uzi
Makubwa, yaani sikuamini kama Kipepe angeweza kurudi na nyama ya nyati kutoka mawindoni!Walioungana kwa dhati katika nyanja ya kiuchumi lazima watakuwa na marndeleo makubwa
Mawindoni leoo nimetoka kapaMakubwa, yaani sikuamini kama Kipepe angeweza kurudi na nyama ya nyati kutoka mawindoni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapa ilikuwa jana leo siku nyingine jitahidi huenda ukapata. WanaJF kwema huko mliko?Mawindoni leoo nimetoka kapa
Mliko natumai muwazima mi nawasalimu na kuwatakia amani itokayo kwa muumba wa mbingu na nchiKapa ilikuwa jana leo siku nyingine jitahidi huenda ukapata. WanaJF kwema huko mliko?
Nchi za kusini mwa Tanganyika(nyanda zote) zimekuwa na watu wabishi na wasiopenda kuonewa. Ndizo zilizochokoza na kuchagiza harakati za ukombozi.Mliko natumai muwazima mi nawasalimu na kuwatakia amani itokayo kwa muumba wa mbingu na nchi
Waungwana inaonekana wameamua kupumzika wikiendi hiiNchi za kusini mwa Tanganyika(nyanda zote) zimekuwa na watu wabishi na wasiopenda kuonewa. Ndizo zilizochokoza na kuchagiza harakati za ukombozi.
Nawasalim waungwana.....
Hii nyuzi haina matatizo na wiki endi ya mtu, popote utakapopumzika unarusha. Labda wamechoka!Waungwana inaonekana wameamua kupumzika wikiendi hii
Kutokea nizaliwe sijawahi sikia wananchi kupata mgao wa NoahWamechoka baada ya kusubiria majibu ya makinikia muda mrefu bila kutokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Noah!Kutokea nizaliwe sijawahi sikia wananchi kupata mgao wa Noah
Taarifa niliipata humu humu itakuwa nimedanganywa basi.Noah!
Kutoka wapi, mbona mimi sina taarifa
Basi pole dadaake. U mzima lakini jioni hii?Taarifa niliipata humu humu itakuwa nimedanganywa basi.
Jioni hii niko mzima wa afya kabisa. Sijui weye?Basi pole dadaake. U mzima lakini jioni hii?