Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,107
- 122,495
Tulia bbc nikwambie sio kweli hiyo ni kwa baadhi ya watu ila wanaume wanapendwa sana tu bila hata hizo pochi zaoHujui wewe mwanamme hapendwi bali inapendwa pochi yake tu
Tulia bbc nikwambie sio kweli hiyo ni kwa baadhi ya watu ila wanaume wanapendwa sana tu bila hata hizo pochi zaoHujui wewe mwanamme hapendwi bali inapendwa pochi yake tu
Zao la Alizeti ni maarufu sana katika mkoa anaotoka...Tulia bbc nikwambie sio kweli hiyo ni kwa baadhi ya watu ila wanaume wanapendwa sana tu bila hata hizo pochi zao
Anaotoka nani sema basiZao la Alizeti ni maarufu sana katika mkoa anaotoka...
Basi wewe ndio unajua, haya tajaAnaotoka nani sema basi
Taja jina la muanzilishi wa jfBasi wewe ndio unajua, haya taja
Jf ni kifupi cha JamiiForumsTaja jina la muanzilishi wa jf
JamiiForums ina wapenzi wengi.Jf ni kifupi cha JamiiForums
Wengiwao ni wasomi wa Elimu ya juuJamiiForums ina wapenzi wengi.
"A voice of one calling in the wildernes"
JamiiForums bwana hapaharibiki neno. Uzi wsko emmy no. 49262 nimeupenda pamoja na wewe, umeongea kwa busara sana.Taja jina la muanzilishi wa jf
Sana sana bbc umenipa kazi nirudi kuungalia. Ahsante sana bbc kwa kuliona hilo.JamiiForums bwana hapaharibiki neno. Uzi wsko emmy no. 49262 nimeupenda pamoja na wewe, umeongea kwa busara sana.
Hilo na mimi nimeshalionaSana sana bbc umenipa kazi nirudi kuungalia. Ahsante sana bbc kwa kuliona hilo.
Nimeshaliona pia hata mimi. Umeona nini MwifwaHilo na mimi nimeshaliona
Mwifwa hajui chochoteNimeshaliona pia hata mimi. Umeona nini Mwifwa
Chochote kile hukijui. Haya bana.Mwifwa hajui chochote
banana umewahi kufikaChochote kile hukijui. Haya bana.
kufika kileleni mapema kunasababishwa na nini hasabanana umewahi kufika
Hasa unapokuwa na climbing gears utafika mapemakufika kileleni mapema kunasababishwa na nini hasa