Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,074
- 1,037
Kujiunga jf rahisi sanaJf haibagui kila rika wanaruhusiwa kujiunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujiunga jf rahisi sanaJf haibagui kila rika wanaruhusiwa kujiunga
Mkuu.. Wakati huo wa usiku wewe ulikuwa unafanya nini hapa JF. Yamkini hata wewe ni mmojawapo hulaliAiseee jf ni balaa mana kuna ambao hawalali usiku kucha wanachati tu
Rahisi sana ndio mana kuna watu wana id zaidi ya moja
Moja ya darasa zuri ni jf.Rahisi sana ndio mana kuna watu wana id zaidi ya moja
Jf naipenda aisee sijui kwa nini
Humu hakuna kinachokosekana kila kitu kipo
Kipo kitu kimoja hakuna mwanadamu anaejuaHumu hakuna kinachokosekana kila kitu kipo
Anaejua hayupo ila aliye juu pekee. Nadhani unamaanisha kifo au nimekosea..Kipo kitu kimoja hakuna mwanadamu anaejua
nimekosea sana kuingia kwenye mapenzi umri huuAnaejua hayupo ila aliye juu pekee. Nadhani unamaanisha kifo au nimekosea..
Huu ni wakat wa kazi kazi tu, mapenzi baadae
baadae ni muda wa kupumzika sio wa mapenziHuu ni wakat wa kazi kazi tu, mapenzi baadae
Mapenzi yake hayana kipimo
Kipimo cha mapenzi nani anakijua?Mapenzi yake hayana kipimo
Anakijua anayependwa bbc wacha ubishi. Mzima?Kipimo cha mapenzi nani anakijua?
Mzima wewe je. Ubishi nitautoa wspi wakayi kipimio sikijui!Anakijua anayependwa bbc wacha ubishi. Mzima?
Sikijui kwa asilimia ila najua napendwa. Ndio unaamka muda huu..Mzima wewe je. Ubishi nitautoa wspi wakayi kipimio sikijui!
Huu muda wa shughuli na si kuamka. Inapendeza zaidi mwanamke kupendwa kama upendwavyoSikijui kwa asilimia ila najua napendwa. Ndio unaamka muda huu..
Upendwavyo bbc ni kwa kiasi gani au ndio hujuiHuu muda wa shughuli na si kuamka. Inapendeza zaidi mwanamke kupendwa kama upendwavyo
Hujui wewe mwanamme hapendwi bali inapendwa pochi yake tuUpendwavyo bbc ni kwa kiasi gani au ndio hujui