Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Pia cha kwangu cha kwangu cha kwako cha kwangu .Zangu zangu zako zangu pia!
Pia cha kwangu cha kwangu cha kwako cha kwangu .Zangu zangu zako zangu pia!
kwangu huku ndo naamka sasaPia cha kwangu cha kwangu cha kwako cha kwangu .
Sammoo hujambo, jamani emmyta na kenyon nimewamiss pia wapendwa kesho tutakuwa wote humu mpaka apatikane mshindi.kwangu huku ndo naamka sasa
Mshindi sidhani kama atapatikana, uzi huu hauna mwisho labda ufutweSammoo hujambo, jamani emmyta na kenyon nimewamiss pia wapendwa kesho tutakuwa wote humu mpaka apatikane mshindi.
Ufutwe tu maana hakuna namnaMshindi sidhani kama atapatikana, uzi huu hauna mwisho labda ufutwe
Siri nzito ya maisha tunayo matajiri tu
wengi wetu ndo tuaingia jamvini muda huuMatajiri tu ndio wanao tajirika zaidi Kwa migongo ya maskini wengi
Huu ndio mda wa wale "mabundi"wengi wetu ndo tuaingia jamvini muda huu
mabundi ni mandege yanayoogopwa sanaHuu ndio mda wa wale "mabundi"
Sana, yanatoka usiku halafu yanashirikishwa ushirikina. Wanasema "ndege wooote walie lakini akilia bundi uchuro"mabundi ni mandege yanayoogopwa sana
uchuro maana yake niniSana, yanatoka usiku halafu yanashirikishwa ushirikina. Wanasema "ndege wooote walie lakini akilia bundi uchuro"
Nini mnafanya usiku wote huu. Mlale unonouchuro maana yake nini
Unono wa nini. Au siku ya wakulima. Wazima humu?...Nini mnafanya usiku wote huu. Mlale unono
humu wazima kabisaUnono wa nini. Au siku ya wakulima. Wazima humu?...
Kabisa yaaani tumeamka vyema. Mola ashukuriwe kwa kweli.humu wazima kabisa
kweli itakuweka huruKabisa yaaani tumeamka vyema. Mola ashukuriwe kwa kweli.
Huru-ma mbayakweli itakuweka huru
Mbaya sana tabia ya bwana yuleHuru-ma mbaya