Luqnation Tz
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 125
- 56
Mimi sina cha kumshauli kwakuwa alipuuzia nilichomshauli kabla.Wangu emmyta usalama ulikuwepo, ni majukumu tu ya hapa na pale daderi ake mimi....
Kabla ya asubuhi ilikuwa wakati gani
Wakati gani mzuri wa kuongea na watu.Kabla ya asubuhi ilikuwa wakati gani
Jamii Forums mobile app
Mbaya halisi na wema hakosiHuru-ma mbaya
Hakosi kuonekana jf kila wakatiMbaya halisi na wema hakosi
Wakati ni huuHakosi kuonekana jf kila wakati
Huu ndio muda wa kujuliana hali kaka alibakari. Mzima?.Wakati ni huu
Jamii Forums mobile app
Mzima kama chuma cha mjerumani, vp na wewe dada hali yakoHuu ndio muda wa kujuliana hali kaka alibakari. Mzima?.
Hali yako kama yangu mi pia mzima wa afya teleMzima kama chuma cha mjerumani, vp na wewe dada hali yako
Jamii Forums mobile app
Manani si ndio Muumba kwa namna nyingine!Afya tele nakuombea kwa manani
Jamii Forums mobile app
Nyingine sina, labda umuulize mwingineManani si ndio Muumba kwa namna nyingine!
Humu ndio jfMwingine analeta sentensi za kizembe humu
jf kirefu chake ni jamii forumsHumu ndio jf
Jamii forums ni mtandao wa kijamii ulio namba moja kwangujf kirefu chake ni jamii forums