Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,484
Kabisa jana hamkuonekana humu. Wazima?nilale tu mana hata series nazo leo haziendi kabisa
Kabisa jana hamkuonekana humu. Wazima?nilale tu mana hata series nazo leo haziendi kabisa
wazima ni wachache sana wengi wameamka na hangoverKabisa jana hamkuonekana humu. Wazima?
Hangover haijawahi muacha mtu salamawazima ni wachache sana wengi wameamka na hangover
salama wa eatv au salama zanaHangover haijawahi muacha mtu salama
Zana za kulimia ni pamoja na jembesalama wa eatv au salama zana
Pia nami niwasalimie nikiwa mchangamfu na mwenye afya tele. Wiki ndo imeanza hiyoSiku njema kwako pia
Hiyo imeanza ngoja tupambane nayoPia nami niwasalimie nikiwa mchangamfu na mwenye afya tele. Wiki ndo imeanza hiyo
Nayo mambo ya wikiendi yamesababisha hadi watu kupotea.Hiyo imeanza ngoja tupambane nayo
Kupotea kwa wasanii maharufu duniani kwa muda ni kwamba wameishiwa utaalamu?Nayo mambo ya wikiendi yamesababisha hadi watu kupotea.
Utaalamu wa kufundisha lugha fasahaKupotea kwa wasanii maharufu duniani kwa muda ni kwamba wameishiwa utaalamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fasaha na fasihi yaani fasihi simulizi nadhani kuna uhusiano.Utaalamu wa kufundisha lugha fasaha
Uhusiano gani unasemea bbc. Mzima?Fasaha na fasihi yaani fasihi simulizi nadhani kuna uhusiano.
Mzima mzima alijiingiza katika mahusiano na bosi wake.Uhusiano gani unasemea bbc. Mzima?
Mzima emmyta, uliamka salama. Nilipita mitaani (kwenye nyuzi mbalimbali - JF) nimekuta uzi unakusifia sana!Uhusiano gani unasemea bbc. Mzima?
Sana sana sijui kama nimepaona nielekeze nikajishuhudie. Au nimechangia tayariMzima emmyta, uliamka salama. Nilipita mitaani (kwenye nyuzi mbalimbali - JF) nimekuta uzi unakusifia sana!
Tayari nimesoma kwa niaba yako sidhani kama kuna haja ukasome kama ulikuwa hujasomaSana sana sijui kama nimepaona nielekeze nikajishuhudie. Au nimechangia tayari
Hujasoma wewe itakuwa. Sawa hakuna shida.Tayari nimesoma kwa niaba yako sidhani kama kuna haja ukasome kama ulikuwa hujasoma
Shida wimbo Mbarak Mwinshehe uliishawahi kuusikia?Hujasoma wewe itakuwa. Sawa hakuna shida.