daneyodry
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 350
- 227
Nini kitatokea alie amsha dude akienda patanishwa na daudi albart bashite
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kitatokea alie amsha dude akienda patanishwa na daudi albart bashite
Sent using Jamii Forums mobile app
bashite atakuwa speechless mbele ya muamsha dudeeNini kitatokea alie amsha dude akienda patanishwa na daudi albart bashite
Sent using Jamii Forums mobile app
jamanii... mbona mnagombana tena?Namna gani tena huelewi jamanii
Tena hatugombani mwaya
Tena hatugombani mwaya
Kabisaaa.Kabisa kabisa kabisaaaa
. Kabisa yaani hujataka kufuata mashartiKabisaaa.![]()
![]()
. Kabisa yaani hujataka kufuata masharti
Kabisa unazidi kusisitizaMasharti nimefuata Emmy lakini huo ni ulikuwa ni msisitizo ili kuhakikisha chini hakufai kabisaaaa 🙂🙂
usijali bana nimekuelewa bossKabisa unazidi kusisitizausijali bana nimekuelewa boss
Sana kama mimi boss wangu ni zaidi ya muelewa ambapo anafanya nisitamani kulala nyumbani pasi sababu ya msingiBoss akiwa poa na muelewa kazi yako utaipenda sana 😛😛😛
msingi ukiwa imara nyumba hudumu kwa miaka mingiSana kama mimi boss wangu ni zaidi ya muelewa ambapo anafanya nistamani kulala nyumbani pasi sababu ya msingi
Miaka mingi ni kuanzia hamsinimsingi ukiwa imara nyumba hudumu kwa miaka mingi
Kuanzi hamsini mpaka hamsini na Tisa bado miaka michahe sanaMiaka mingi ni kuanzia hamsini
Maana gani hapo hujaielewaMwaya huwa Ina maana gani??
Sana sana nakusalimia mkuuKuanzi hamsini mpaka hamsini na Tisa bado miaka michahe sana
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Mkuu usitamani siku ziwe nyingi zenye matesoSana sana nakusalimia mkuu