daneyodry
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 350
- 227
Mchicha siku hizi nikila natamani kutapikaUsijari hata mbuyu ulianza kama mchicha
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Mchicha siku hizi nikila natamani kutapikaUsijari hata mbuyu ulianza kama mchicha
Kutapika humaliza maji mwilini
Maji mwilini hayaishi kupitia kutapika tuuKutapika humaliza maji mwilini
Kutapika tuu kwa muda mrefu lazima maji yapungue mwilini na kukosa nguvu
Na kukosa nguvu! Hapo ndio nakuunga mkonoKutapika tuu kwa muda mrefu lazima maji yapungue mwilini na kukosa nguvu
Mkono mmoja weka juu. Mmesusa leo huku mko wapi jamani Mwifwa, thatsit ,alibakari God Heals, Keyon, mtebetini, dingimtoto, Akhy D, jakitoo, James Comey, muuza ubuyu, bbc, Daby, daneyodry, kelvin marcus,Arsenalism 89,BAK, Linamo, gbefa, sammoo vibaya hivyo weekend kula peke yenu.
Yenu huzuni kwasababu mpo pekee yenu, tupo emmyta leo ni Jumapili wateja walikuwa wengi, kwa ufupi tulikuwa busyMkono mmoja weka juu. Mmesusa leo huku mko wapi jamani Mwifwa, thatsit ,alibakari God Heals, Keyon, mtebetini, dingimtoto, Akhy D, jakitoo, James Comey, muuza ubuyu, bbc, Daby, daneyodry, kelvin marcus,Arsenalism 89,BAK, Linamo, gbefa, sammoo vibaya hivyo weekend kula peke yenu.
Busy isioelezeka, ila tupo wanajamvi.Yenu huzuni kwasababu mpo pekee yenu, tupo emmyta leo ni Jumapili wateja walikuwa wengi, kwa ufupi tulikuwa busy
wanajamvi leo wamehamia kwenye vileee viti virefuBusy isioelezeka, ila tupo wanajamvi.
Wanajamvi naona usiku umeingia mwaonaje tukijaaliwa tukutane keshoBusy isioelezeka, ila tupo wanajamvi.
Kesho sir GOD akipenda, ulale salama mkuuWanajamvi naona usiku umeingia mwaonaje tukijaaliwa tukutane kesho
Kaondoka kaelekea wapi
Wapi tunakoelekea sasaKaondoka kaelekea wapi
Sasa mbona kama usingizi unaniteka hiviWapi tunakoelekea sasa
Hivi na hii hali tete bado unapata usingizi kweliSasa mbona kama usingizi unaniteka hivi
Kweli kabisa mkuu ukiongeza na machofu ya mchana, yaani dah! Wacha nilale tuHivi na hii hali tete bado unapata usingizi kweli
nilale tu mana hata series nazo leo haziendi kabisaKweli kabisa mkuu ukiongeza na machofu ya mchana, yaani dah! Wacha nilale tu