Emanueli macha
Senior Member
- May 13, 2017
- 152
- 69
Sanaa na siasa ni tanzu za mzazi mmoja kiuhalisia. Maana nimeshindwa kuelewa mpaka sasa zile laptop walizoahidiwa walimu zimefikia wapi!Sana
Sent From Ikulu-Magogoni street
Wapi upo saa hizi God Heals. Nakusalimia.Sanaa na siasa ni tanzu za mzazi mmoja kiuhalisia. Maana nimeshindwa kuelewa mpaka sasa zile laptop walizoahidiwa walimu zimefikia wapi!
Nakusalimia emmyWapi upo saa hizi God Heals. Nakusalimia.
Nakusalimia nami pia daderi wangu emmy. Mimi nipo job nasukuma siku huku namangamanga na kubung'aza macho mtaani kwetu, zaidi kwenye hiki kijiwe chetu pendwa...Wapi upo saa hizi God Heals. Nakusalimia.
Emmy mzima wa afya. Sijui wewe MangiNakusalimia emmy
Sent From Ikulu-Magogoni street
wazazi mnaombwa kujitetea kwenye swala hilo la sivyo mtakufa masikini
Kijiwe chetu pendwa mi ndio naongoza kwa kutokauka humu.Nakusalimia nami pia daderi wangu emmy. Mimi nipo job nasukuma siku huku namangamanga na kubung'aza macho mtaani kwetu, zaidi kwenye hiki kijiwe chetu pendwa...
Kwa kutokauka humu kweli mimi mwenyewe nakukubali daderi wangu. Ila ni vizuri maana watu wakishakuwa wawili na kuendelea, lazima kiwe na kiongozi.Kijiwe chetu pendwa mi ndio naongoza kwa kutokauka humu.
Kiongozi nimeshakuwa mie si eti..Kwa kutokauka humu kweli mimi mwenyewe nakukubali daderi wangu. Ila ni vizuri maana watu wakishakuwa wawili na kuendelea, lazima kiwe na kiongozi.
Kiongozi aweza kuwa yeyoteKwa kutokauka humu kweli mimi mwenyewe nakukubali daderi wangu. Ila ni vizuri maana watu wakishakuwa wawili na kuendelea, lazima kiwe na kiongozi.
Kupinga na kupingua ni mchezo tuliecheza sana utotoni. Aghalabu, kuunga/kuanzisha urafiki; au kukata/kumaliza urafiki.Yaani hakuna sababu ya kupinga
Kumaliza urafiki Ulikuwa mchezo mmoja ulioumiza nafsi mnoo.... Kuna mchezo Ulikuwa waitwa bomoa.... Ukikutwa umeinama unapata teke moja la kukubomoaKupinga na kupingua ni mchezo tuliecheza sana utotoni. Aghalabu, kuunga/kuanzisha urafiki; au kukata/kumaliza urafiki.
Kukubomoa....!!!hahaha kuna siku nilikuwa naunga ndala iliyokatika, nikala shuti la ukweli. Kilichonisaidia ni mtu wa sarakasi nikapona kulamba mchanga.Kumaliza urafiki Ulikuwa mchezo mmoja ulioumiza nafsi mnoo.... Kuna mchezo Ulikuwa waitwa bomoa.... Ukikutwa umeinama unapata teke moja la kukubomoa
Mchanga uliulamba bana, ogopa teke la surprise mkuuKukubomoa....!!!hahaha kuna siku nilikuwa naunga ndala iliyokatika, nikala shuti la ukweli. Kilichonisaidia ni mtu wa sarakasi nikapona kulamba mchanga.
mkuu naomba ulimit hii thread la sivyo itakumalizia memoryMchanga uliulamba bana, ogopa teke la surprise mkuu