Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Huu mchezo siupati bhanaa
Bhana wewe huujui ule mchezo, mnakusanya mchanga mithili ya kijimlima, hafu mnachomeka kijiji katikati, hafu mnaanza kula hiko kimlima. Sasa msala kipindi unakula ule mchanga, kijiti kianguke kwako.....hapo utakula mambata mpaka mgongo uwake moto.

Salama yako ni kutoka nduki na kwenda kuugusa mti(mara nyingi hutumika mti kama ndio kifunguzi/salama yako) na hapo ndipo mnaporudi na kuanza tena mchezo upya.

Kuisha kwa mchezo huu mpaka mmoja wenu akasirike, mzichape za maana, na kupungua urafiki.
 
Masaki waaapii... Nikumbushe hebu
Huu hapa

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Urafiki wa enzi hizo ni sheeedaa.. Yaani mkuu nimecheka mpaka Sina hamu ujue
 
Back
Top Bottom