Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Umeamka bbc. Mi sijambo bukheri wa afya tele. Kwema?JF zipo post/nyuzi nyingine, umeiona ya makapuku? Siku nyingine tena kumekucha. emmyta umeamka?
Umeamka bbc. Mi sijambo bukheri wa afya tele. Kwema?JF zipo post/nyuzi nyingine, umeiona ya makapuku? Siku nyingine tena kumekucha. emmyta umeamka?
Kwema na wema wake, watu wasema siku hazifanani lakini mimi naona leo yafanana na ya jana!Umeamka bbc. Mi sijambo bukheri wa afya tele. Kwema?
Jana na leoKwema na wema wake, watu wasema siku hazifanani lakini mimi naona leo yafanana na ya jana!
Leo siku nyingine tena. Huu mda wa kazi kafanye kazi, mimi niko Nane nane ndiyo maana nina mda kama huu!Jana na leo
Huu muda mbona niko kazini tayari. Hiyo nane nane ni ya Njiro arusha au ya wapi hiyo.Leo siku nyingine tena. Huu mda wa kazi kafanye kazi, mimi niko Nane nane ndiyo maana nina mda kama huu!
Hiyo itakuwa ya lindi kunakofanyikia maadhimisho kitaifa, hawawezi fanyia arusha sababu ya CHADEMA.Huu muda mbona niko kazini tayari. Hiyo nane nane ni ya Njiro arusha au ya wapi hiyo.
CHADEMA ambayo kirefu chake ni Chama cha Demokrasia na MaendeleoHiyo itakuwa ya lindi kunakofanyikia maadhimisho kitaifa, hawawezi fanyia arusha sababu ya CHADEMA.
Maendeleo yataletwa kwa kufanya kazi. Nimesafiri niko MbeyaCHADEMA ambayo kirefu chake ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Maendeleo ambayo CCM wanatudanganya wanaleta miaka 50 iliyopitaCHADEMA ambayo kirefu chake ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Iliyopita na hata ijayo 50 mambo yatakuwa hayohayoMaendeleo ambayo CCM wanatudanganya wanaleta miaka 50 iliyopita
Hayo hayo mambo mara zote huwa changanya watu kwa namna fulani.Iliyopita na hata ijayo 50 mambo yatakuwa hayohayo
Fulani yule hajambo....Hayo hayo mambo mara zote huwa changanya watu kwa namna fulani.
Hajambo ni mzima wa afya...Fulani yule hajambo....
Afya... siku hizi na hivi vyakula vyetu vya makoponi ni shida tupu!Hajambo ni mzima wa afya...
Afya njema ndio kila kitu kwa maisha ya binadamuHajambo ni mzima wa afya...
Binadamu wa kwanza aliishi TanzaniaAfya njema ndio kila kitu kwa maisha ya binadamu
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi nzuri Tanzania jina lako ni tamu sana.Binadamu wa kwanza aliishi Tanzania
Jina lako ni tamu sana lakini pia ni chungu kwa Watumishi wa umma mana kila kukicha uhakikiTanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi nzuri Tanzania jina lako ni tamu sana.
Uhakiki mkubwa uliishapita sasa umebaki mdogomdogoJina tanu lako ni tamu sana lakini pia ni chungu kwa Watumishi wa umma mana kila kukicha uhakiki