bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Majani makavu hayaachi kupiga kelelePilipili naipenda ila niiweke kwenye mboga za majani
Majani makavu hayaachi kupiga kelelePilipili naipenda ila niiweke kwenye mboga za majani
Kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa majiMajani makavu hayaachi kupiga kelele
Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaogaKelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji
Kuyaoga maji ya baridi yataka moyoMaji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga
Mengi yanaongelewa kuhusu makinikia, na ukweli sijui ni upi
Upi ni uelekeo wa kwenda nanjilinjiMengi yanaongelewa kuhusu makinikia, na ukweli sijui ni upi
Nanjilinji Kilwa?Upi ni uelekeo wa kwenda nanjilinji
Kilwa kuna magofu ya warenoNanjilinji Kilwa?
Wareno inasemekana waliwatesa sana ndugu zetu wa MsumbijiKilwa kuna magofu ya wareno
Msumbiji ni taifa ambalo Tanzania ilichangia uondoshwaji wa wazungu, maana wakoloni bado wapo.Wareno inasemekana waliwatesa sana ndugu zetu wa Msumbiji
Wapo!Msumbiji ni taifa ambalo Tanzania ilichangia uondoshwaji wa wazungu, maana wakoloni bado wapo.
Wimbo ni mojawapo ya vipengele vya fasihiWapo!
Mademu wanasagana.. wapo!
Wanaume wanalelewa.....wapo!
Na kina bashite................wapo!
Sijasikia mnasema.....wapo!
Naupenda sana huu wimbo.
Fasihi ni tawi la sanaa ambalo linatumia lugha ya mazungumzo au maandishi ili kufikisha ujumbe kwa hadhira husikaWimbo ni mojawapo ya vipengele vya fasihi
Fasihi ni sanaa lakini yenyew zaid hutumia lugha kama silaha ili kufikisj ujumbe kwa hadhiraWimbo ni mojawapo ya vipengele vya fasihi
Hadhira ndio wahenga?Fasihi ni sanaa lakini yenyew zaid hutumia lugha kama silaha ili kufikisj ujumbe kwa hadhira
Wahenga wakiitwa nami ni mmoja wao.Hadhira ndio wahenga?
Waombao hupewa na wabishao hufunguliwa.... Za asubuhi wapendwaWahenga wakiitwa nami ni mmoja wao.
JF zipo post/nyuzi nyingine, umeiona ya makapuku? Siku nyingine tena kumekucha. emmyta umeamka?