Me nahisi bora tuishie hapa kucheza huu mchezo, jamani hizi signature zinaboa bhanaaa
Me nahisi bora tuishie hapa kucheza huu mchezo, jamani hizi signature zinaboa bhanaaa
Bhanaaa we acha tu mi zilinikera mpaka sasa nimezizoweaMe nahisi bora tuishie hapa kucheza huu mchezo, jamani hizi signature zinaboa bhanaaa
Bhanaaa, mchezo mzuri halafu uachwe mapema!Me nahisi bora tuishie hapa kucheza huu mchezo, jamani hizi signature zinaboa bhanaaa
Nimezizoea hizi kauli na samahan kwa niliowakwazaBhanaaa we acha tu mi zilinikera mpaka sasa nimezizowea
Niliowakwaza ni nani na nani humu jf?...Nimezizoea hizi kauli na samahan kwa niliowakwaza
Humu Jf ni kama mamyto "thats it" hadi akaamua kutoa ya moyonNiliowakwaza ni nani na nani humu jf?...
Katoa ya moyoni ile asubuhi hata nami nimeona piaHumu ni kama mamyto "thats it" hadi akaamua kutoa ya moyon
Pia ni vizur kuambizana ukweli ukiona jambo limekukera, sio unakaa na kugugumia chini chini.Katoa ya moyoni ile asubuhi hata nami nimeona pia
Kugugumia chini chini ndio mwanzo wa kuwa na chukiPia ni vizur kuambizana ukweli ukiona jambo limekukera, sio unakaa na kugugumia chini chini.
Chuki ndio inayosbabisha uhasana na mifarakano katika jamiiKugugumia chini chini ndio mwanzo wa kuwa na chuki
Jamii ya kifugajiChuki ndio inayosbabisha uhasana na mifarakano katika jamii
Ya kifugaji, wakulima, wavuvi na jamii forumJamii ya kifugaji
Jamii forum ndio mtandao wa kijamii ninaoutumia pekeeYa kifugaji, wakulima, wavuvi na jamii forum
Pekee alimpenda mkewe alidhani hakuna wanawake wengine!Jamii forum ndio mtandao wa kijamii ninaoutumia pekee
Wengine alikua akiwamezea mate kimya kimyaPekee alimpenda mkewe alidhani hakuna wanawake wengine!
Kimya ni busara kuliko kuongea usiyoyajuaWengine alikua akiwamezea mate kimya kimya
Yapi ambayo ni ya siri nami nijitahidi niyajue.Usiyoyajua kuhusu mabenki ya tanzania ni yapi?
Niyajue na mimi yaliyojificha upande wa pili.Yapi ambayo ni ya siri nami nijitahidi niyajue.
Pilipili naipenda ila niiweke kwenye mboga za majaniNiyajue na mimi yaliyojificha upande wa pili.