Wangu nishapoa voo, ila nimejiwekea mipaka ya matumizi ya cm sio sana km zamaniMasikio bado hayajapona kumbe. Pole sana mdogo wangu
Wangu nishapoa voo, ila nimejiwekea mipaka ya matumizi ya cm sio sana km zamaniMasikio bado hayajapona kumbe. Pole sana mdogo wangu
Zamani ulikuwepo mdogo wangu. Sema tu ukweliWangu nishapoa voo, ila nimejiwekea mipaka ya matumizi ya cm sio sana km zamani
Ukweli humueka mtu huruZamani ulikuwepo mdogo wangu. Sema tu ukweli
Huruma ni nzuri ila muda mwingine inaponzaUkweli humueka mtu huru
Kumuhurumia mtu bila kumchunguza huo ndio huwa mwisho wake
Wake zake siwajuiKumuhurumia mtu bila kumchunguza huo ndio huwa mwisho wake
Ladha hiyo ipi embu dadavua vizuriWake unaoa wawili au watatu ili kubadilisha ladha
You get what you work for not What you wish for
![]()
Vizuri sana ukiwa na hekima katika kufanya maamuziLadha hiyo ipi embu dadavua vizuri
Maamuzi gan utafanya endapo utagundua mwenzi wako hakupendiVizuri sana ukiwa na hekima katika kufanya maamuzi
Hakupendi kwa sababu ulikurupukaMaamuzi gan utafanya endapo utagundua mwenzi wako hakupendi
Ulikurupuka! Kwanini ukurupuke wakati unajua unaweza kuathiriwa!Hakupendi kwa sababu ulikurupuka
Kuathiriwa na ugonjwa wa mahaba haujawahi kumuacha mtu salamaUlikurupuka! Kwanini ukurupuke wakati unajua unaweza kuathiriwa!
Salama inazuia mimba tu si ukimwiKuathiriwa na ugonjwa wa mahaba haujawahi kumuacha mtu salama
UKIMWI ni ukosefu wa kinga mwiliniSalama inazuia mimba tu si ukimwi
Mwilini kuna vitu vingi hatuvijuiUKIMWI ni ukosefu wa kinga mwilini
You get what you work for not What you wish for 
Mwilini protein ni MuhimuUKIMWI ni ukosefu wa kinga mwilini
Muhimu ila sio sana kama uwangaMwilini protein ni Muhimu
You get what you work for not What you wish for 
For those who loves meMuhimu ila sio sana kama uwanga
You get what you work for not What you wish for
![]()