God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Weye tena daderi angu, nngeshangaa usingenijulia hali. Mimi nimeshinda salamaBure kabisa. Umeshindaje weye?
Aje weye eti!
Weye tena daderi angu, nngeshangaa usingenijulia hali. Mimi nimeshinda salamaBure kabisa. Umeshindaje weye?
Salama salmini. Mi pia daderi wako sijambo kabisa. Namshukuru mungu jumatatu imekwenda vyema kabisa.Weye tena daderi angu, nngeshangaa usingenijulia hali. Mimi nimeshinda salama
Aje weye eti!
Kabisa yani hata nami naona...Salama salmini. Mi pia daderi wako sijambo kabisa. Namshukuru mungu jumatatu imekwenda vyema kabisa.
Naona nimechelewa ila sio vibayaKabisa yani hata nami naona...
Vibaya ni kutokuonekana kabisaNaona nimechelewa ila sio vibaya
Kabisa, wengi wangependa kuiona Jumatatu hii kama tulivyoiona sisi lakini wameshindwaSalama salmini. Mi pia daderi wako sijambo kabisa. Namshukuru mungu jumatatu imekwenda vyema kabisa.
Wameshindwa fisiemu,Kabisa, wengi wangependa kuiona Jumatatu hii kama tulivyoiona sisi lakini wameshindwa
wataweza kweli.Kweli kabisa sina matarajio kabisa na nyanja ya siasa. Maana simba hawezi kulisha watoto wake kabla ya kushiba yeye kwanza. Tatizo zaidi ni kujua kipimo cha shibe yake, hapo ndipo penye majanga.Wameshindwa fisiemu,wataweza kweli.
Kweli nimeamini hawaweziWameshindwa fisiemu,wataweza kweli.
Hawawezi eee. Hapo sawa.Kweli nimeamini hawawezi
Sawa na kumpa chui amlee mwana wa kondooHawawezi eee. Hapo sawa.
Kondoo ana mafua kila saa hadi kichefuchefu kumuangalia saa nyingineSawa na kumpa chui amlee mwana wa kondoo
Nyingine ni hisia tu nazo, zaidi mimi hata kula nyama zao, na jirani zao mbuzi ndo sitaki kabisa.Kondoo ana mafua kila saa hadi kichefuchefu kumuangalia saa nyingine
Sitaki kabisa kama mimi na sijawahi kula nyama yake.Nyingine ni hisia tu nazo, zaidi mimi hata kula nyama zao, na jirani zao mbuzi ndo sitaki kabisa.
Yake madaha yalimfanya babu alegee nyang'anyang'a, na hatimaye akapatikana baba, mashangazi, n.kSitaki kabisa kama mimi na sijawahi kula nyama yake.
N.k si ndio nakadhalika mabibi na mababu.Yake madaha yalimfanya babu alegee nyang'anyang'a, na hatimaye akapatikana baba, mashangazi, n.k
Mababu ni wahenga au nimekoseaN.k si ndio nakadhalika mabibi na mababu.
Nimekosea kweli kupanda kitandani na viatu nilivyoshindia siku nzima.Mababu ni wahenga au nimekosea
Nzima simu yangu haijawahi nisumbua badoNimekosea kweli kupanda kitandani na viatu nilivyoshindia siku nzima.
Bado nafikiria ilikuwaje nikazaliwa TanzaniaNzima simu yangu haijawahi nisumbua bado