Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,110
- 122,503
Emmyta hata hajui kingine kilichopo zaidi ya mchangaDogo hilo kwani shimoni kuna nini emmyta?
Emmyta hata hajui kingine kilichopo zaidi ya mchangaDogo hilo kwani shimoni kuna nini emmyta?
Dogo na ahueni yako ni kutenda yaliyo mema na mazuri matendo.Uwoga lazima ndugu mana kubaki kwenye shimo peke yako si jambo dogo
Mchanga ndiwo ukuogofyao!Emmyta hata hajui kingine zaidi ya mchanga
Ukuogofyao wewe bbc sio huo mchanga..Mchanga ndiwo ukuogofyao!
Mchanga uliobeba masalia huitwa makanikia.Ukuogofyao wewe bbc sio huo mchanga..
Makanikia haijawahi kumuacha mtu salamaMchanga uliobeba masalia huitwa makanikia.
Salama condom siku hizi hazipatikana katika jiji la bashiteMakanikia haijawahi kumuacha mtu salama
Bashite achana naye, kiniogofyacho mimi emmyta ni adhabu za shimoni!Salama condom siku hizi hazipatikana katika jiji la bashite
Shimoni kule Mombasa?Bashite achana naye, kiniogofyacho mimi emmyta ni adhabu za shimoni!
You get what you work for not What you wish for 
Mombasa pia kuna shimoni kumbe. Sawa bbc nimekuelewa ila umeniogopesha sanaShimoni kule Mombasa?
You get what you work for not What you wish for
![]()
Sana anaogopesha atakuwa na sura ya kutishia.Mombasa pia kuna shimoni kumbe. Sawa bbc nimekuelewa ila umeniogopesha sana
Kutishia tena. Haya banaSana anaogopesha atakuwa na sura ya kutishia.
Bana nimepita Jukwaa la siasa aisee dhihaka njenje ikambatana na matusi.Kutishia tena. Haya bana
Matusi huwa siyapendi kwa kweli japokuwa kun wengine siku haipiti bila kutukana wenzao.Bana nimepita Jukwaa la siasa aisee dhihaka njenje ikambatana na matusi.
Wenzao washazoea matusi imekuwa kama desturi na utamaduni.Matusi huwa siyapendi kwa kweli japokuwa kun wengine siku haipiti bila kutukana wenzao.
Utamaduni wa matusi hata haufai mbele ya jamiiWenzao washazoea matusi imekuwa kama desturi na utamaduni.
Jamii yetu saizi imetekwa na jinamizi hili la dhihaka na matusi machafu, Sasa ni kila mahala hadi kwa wasomi.Utamaduni wa matusi hata haufai mbele ya jamii
Wasomi wajihusishao na matusi, hususani ya waziwazi ni dhahiri hawautendei haki usomi wao, na elimu yao ni sawa na bure.Jamii yetu saizi imetekwa na jinamizi hili la dhihaka na matusi machafu, Sasa ni kila mahala hadi kwa wasomi.
Bure kabisa au ndio Elimu yetu ya Africa.Wasomi wajihusishao na matusi, hususani ya waziwazi ni dhahiri hawautendei haki usomi wao, na elimu yao ni sawa na bure.
Bure kabisa. Umeshindaje weye?Wasomi wajihusishao na matusi, hususani ya waziwazi ni dhahiri hawautendei haki usomi wao, na elimu yao ni sawa na bure.