msanawa
Senior Member
- Nov 27, 2014
- 161
- 177
Sasa umekuwa mjanja sana kwa kuendeleza japo bado hatupata maana ya tashwishwiSorry sana kwa kupotea, nimerudi sasa
Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umekuwa mjanja sana kwa kuendeleza japo bado hatupata maana ya tashwishwiSorry sana kwa kupotea, nimerudi sasa
Jamii Forums mobile app
Tashwishwi ndio nini?...Sasa umekuwa mjanja sana kwa kuendeleza japo bado hatupata maana ya tashwishwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kinafanya watu wanakufa maskini.Tashwishwi ndio nini?...
Maskini wanatokana na kutokuji shughulisha.Nini kinafanya watu wanakufa maskini.
Kutokujishughulisha...? je hakuna vitu vyaweza kuchochea umasikini.Maskini wanatokana na kutokuji shughulisha.
Umaskini huu utaisha liniKutokujishughulisha...? je hakuna vitu vyaweza kuchochea umasikini.
Lini taifa letu litakuwa Taifa tajiri .Umaskini huu utaisha lini
Jamii Forums mobile app
Tajiri kama mimiLini taifa letu itakuwa Taifa tajiri .
Mimi si tajiri wa mali lakini ni tajiri wa Mahaba.Tajiri kama mimi
Jamii Forums mobile app
Mahaba nitupe wami.Mimi si tajiri wa mali lakini ni tajiri wa Mahaba.
Wami tena hahahaha utakutana na wimbo wa idd amini" idd amini akifa mimi siwezi kulia nitamutupa kagera awe chakula cha mamba"Mahaba nitupe wami.
Mamba wacha tu wanile aisee. Hahahaaaaa. Nimecheka sanaWami tena hahahaha utakutana na wimbo wa idd amini" idd amini akifa mimi siwezi kulia nitamutupa kagera awe chakula cha mamba"
sana hadi umetokwa na machoziMamba wacha tu wanile aisee. Hahahaaaaa. Nimecheka sana
Machozi ya furaha au huzunisana hadi umetokwa na machozi
Huzuni ya kuondokewa na ndugu kipenzi..hakina huruma kifoMachozi ya furaha au huzuni
Kifo bwana kisikie tu, ukiodokewa na mtu wako wa karibu utadhani wewe ndiye wa kwanza kufiwa!Huzuni ya kuondokewa na ndugu kipenzi..hakina huruma kifo
Kufiwa kusikie kwa mwenzio tu jamaniKifo bwana kisikie tu, ukiodokewa na mtu wako wa karibu utadhani wewe ndiye wa kwanza kufiwa!
Jamani ni heri kusubiri unyakuo wa siku za mwisho..kifo kinawaletea watu uwoga.Kufiwa kusikie kwa mwenzio tu jamani
Uwoga lazima ndugu mana kubaki kwenye shimo peke yako si jambo dogoJamani ni heri kusubiri unyakuo wa siku za mwisho..kifo kinawaletea watu uwoga.
Dogo hilo kwani shimoni kuna nini emmyta?Uwoga lazima ndugu mana kubaki kwenye shimo peke yako si jambo dogo