Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Tunaimalizia weekend sasa ambapo ni maandalizi ya wiki mpya.
Tunaimalizia weekend sasa ambapo ni maandalizi ya wiki mpya.
Mpya kweli? Njoo basi tuimalizie wiki yetu huku Iselamagazi!Tunaimalizia weekend sasa ambapo ni maandalizi ya wiki mpya.
Campiliposh akifika na weekend itakuwa imeshaisha!Iselamagazi hawezi kuja, weekend hii anakuja campiliposh
Imeshaisha luku iliyokuwa ikitumiwa kwa njia za wizi.
Wizi sio mzuri kabisaa yaaniImeshaisha luku iliyokuwa ikitumiwa kwa njia za wizi.
Yaani ukikamatwa waweza tendwa jambo la aibu.Wizi sio mzuri kabisaa yaani
Aibu ni pale atakayekukamata ni mtu anaye kuheshimu.Yaani ukikamatwa waweza tendwa jambo la aibu.
Kuheshimu taratibu na sheria ziliziwekwa katika Jamii husika ni jambo la busara.Aibu ni pale atakayekukamata ni mtu anaye kuheshimu.
Busara ni nzuri sana kuwa nayoKuheshimu taratibu na sheria ziliziwekwa katika Jamii husika ni jambo la busara.
Nayo ni kijiji kinachopatikana nchini Burma.Busara ni nzuri sana kuwa nayo
Utulivu unahitajika kwenye kila jamboNayo ni kijiji kichopatikana nchini Burma.View attachment 554180 hakika ni kijiji kilicho na utulivu.
Jambo limezua mambo na Mambo yamezua jambo...hahaha unawakumbuka sheiki na havil hawa wasanii..Utulivu unahitajika kwenye kila jambo
Wasanii hawa nawakumbuka vizuriJambo limezua mambo na Mambo yamezua jambo...hahaha unawakumbuka sheiki na havil hawa wasanii..
Vizuri, nimeanza kufungua jf kupitia web na nimeshaweza tayariWasanii hawa nawakumbuka vizuri
Tayari kumbe. Bora mdogo wangu ila nimekumiss sana ujue.Vizuri, nimeanza kufungua jf kupitia web na nimeshaweza tayari
Ujue mimi mwenyewe nimewamiss member wote wa huu uzi.Tayari kumbe. Bora mdogo wangu ila nimekumiss sana ujue.
Uzi unawatu wa muhimu saana. Thatsit nakusalimu mamaUjue mimi mwenyewe nimewamiss member wote wa huu uzi.
Mama thatsit majukumu yamemutinga.Uzi unawatu wa muhimu saana. Thatsit nakusalimu mama
Yamemtinga kweli ila hata salamu ?Mama thatsit majukumu yamemutinga.
Salamu labda umufuate katika lake hekalu .Yamemtinga kweli ila hata salamu ?