Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Hekalu lake tatizo lina foleni hata nikienda nitakuwa wa mwishoSalamu labda umufuate katika lake hekalu .
Hekalu lake tatizo lina foleni hata nikienda nitakuwa wa mwishoSalamu labda umufuate katika lake hekalu .
Mwisho utakuwa tu pale utakapo ruhusu mawazo ya foleni.Hekalu lake tatizo lina foleni hata nikienda nitakuwa wa mwisho
Foleni ya Dar aseeh huwa inakera ni moja ya kinachosababisha nisipapendeMwisho utakuwa tu pale utakapo ruhusu mawazo ya foleni.
Nisipapende Dar...? nipende sehemu gani katika hili Taifa.Foleni ya Dar aseeh huwa inakera ni moja ya kinachosababisha nisipapende
Taifa la Tanzania lipo adolescence ukilinganisha na Taifa la marekani lipo menopauseNisipapende Dar...? nipende sehemu gani katika hili Taifa.
Menopause Manaake nini..? tuwekee katika lugha yetu adhimu ya Kiswahili.Taifa la Tanzania lipo adolescence ukilinganisha na Taifa la marekani lipo menopause
Kiswahili ni lugha ya pili inayozungumzwa saana barani AfrikaMenopause Manaake nini..? tuwekee katika lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Africa yetu unanipa maswali mengi...Je ni bara lenye watu wapenda ngono,wavivu na wajinga...?Kiswahili ni lugha ya pili inayozungumzwa saana barani Afrika
Wajinga ndiyo watakukatalia ila mimi nitaunga mkono kwa asilimia 50Africa yetu unanipa maswali mengi...Je ni bara lenye watu wapenda ngono,wavivu na wajinga...?
50 ninayo sema haiwezi nunua chibu perfume!Wajinga ndiyo watakukatalia ila mimi nitaunga mkono kwa asilimia 50
Perfume gani unatumia mzee?
Mzee huyo atakuwa anatumia perfume ya Christian Ronaldo.Perfume gani unatumia mzee?
Ronaldo? Labda zinedine zidane ndo nilikuwa namkubali!Mzee huyo atakuwa anatumia perfume ya Christian Ronaldo.
Doing is not sayingMzee huyo atakuwa anatumia perfume ya Christian Ronaldo.
Sijakusoma mkuu,kulingana na sentensi yangu hapo Juu..Doing is not saying
Namkubali mchezaji yeyote yule anayefanya makubwa uwanjani.
Juu pale na wewe ulimstukia jamaa? Anataka kuvunja sheria za uzi wetu jamaa!Sijakusoma mkuu,kulingana na sentensi yangu hapo Juu..
Uwanjani kunavutia kuangalia mechi liveNamkubali mchezaji yeyote yule anayefanya makubwa uwanjani.
Live bila chengaUwanjani kunavutia kuangalia mechi live
Chenga za mchele hutengenezwa unga wa kupikia vitumbuaLive bila chenga