Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,393
- 6,562
Vitumbua huwa vitamu kama vya moto
Vitumbua huwa vitamu kama vya moto
Moto wake usiwe mkali tu, tangu nikiwa mdogo mpaka sasa napenda sana vitumbuaVitumbua huwa vitamu kama vya moto
Motomoto ni eneo lililo maeneo ya mabiboVitumbua huwa vitamu kama vya moto
Vitimbua huwa vitamu ili vinakuwa vibaya ukiliamo mchanga uutafuneMoto wake usiwe mkali tu, tangu nikiwa mdogo mpaka sasa napenda sana vitumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Uutafune mchanga kwani huuoni? Mie napenda kile kitumbua kingine!Vitimbua huwa vitamu ili vinakuwa vibaya ukiliamo mchanga uutafune
Kingine kipi mkuu au PAMPUCHIUutafune mchanga kwani huuoni? Mie napenda kile kitumbua kingine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitamu lakini kuchungupampuchi ama pia papuchi ni neno maarufu jf likiwa na maana ya kitu flani cha siri ambacho ni kitamu.
Kuchungu au kichungu.
Kichungu ndio neno sahihiKuchungu au kichungu.
Kichungu nimemaanisha, kwani wewe hukuelewa?Kuchungu au kichungu.
Kuelewa na kuelewana kumekuwa tatizo?
Tatizo lako unaanza na neno "kuelewa" badala ya "hukuelewa"!Kuelewa na kuelewana kumekuwa tatizo?
Hukuelewa kwamba safari yetu ya miaka 5 itakuwa ya msobemsobe kwa huyu dereva au!
Au safari yenye furaha,Amani na vicheko.Hukuelewa kwamba safari yetu ya miaka 5 itakuwa ya msobemsobe kwa huyu dereva au!
Amani na vicheko vingekwemo mbona tungesahau tabu zote za miaka 50+Au safari yenye furaha,Amani na vicheko.
50+ miaka ya umri ni issue kuifikishaAmani na vicheko vingekwemo mbona tungesahau tabu zote za miaka 50+
Kuifikisha kunamo mashine iliyochoka yahitaji uvumilivu
Uvumilivu katika baadhi ya mambo unakikomo chake...lazima uchukue hatua.Kuifikisha kunamo mashine iliyochoka yahitaji uvumilivu
Ulilala sana mchana wa leo, ulichoka sana na pilikapilika za wikiend!