Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,036
- 126,041
Emmyta naye hajambo anafurahi kukuona tena karibu.
Emmyta naye hajambo anafurahi kukuona tena karibu.
Maisha ya siku hizi kila kitu pesa mbele
Mbele kama mfuko wa shatiMaisha ya siku hizi kila kitu pesa mbele
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Shati za tomato tumezivaa sana primary na sekondari hivi bado zipo??Mbele kama mfuko wa shati
Zipo bado. Ila umenikumbusha mbali sanaShati za tomato tumezivaa sana primary na sekondari hivi bado zipo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana! Kwenye miaka ipi hasa?Zipo bado. Ila umenikumbusha mbali sana
Hasa miaka ya 2016Sana! Kwenye miaka ipi hasa?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hasa miaka ya 2016
[emoji15] ?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15][emoji15] [emoji15]? [emoji460] [emoji460] [emoji460] TMk- bila tatu...wamebana wameachia.[emoji15] ?
Wameachia tena. [emoji15] [emoji15] pole yao[emoji15][emoji15] [emoji15]? [emoji460] [emoji460] [emoji460] TMk- bila tatu...wamebana wameachia.
Wameachia mwisho tukawapiga 7 zero[emoji15][emoji15] [emoji15]? [emoji460] [emoji460] [emoji460] TMk- bila tatu...wamebana wameachia.
Zero nfiyo sifuri au...!Wameachia mwisho tukawapiga 7 zero
! Ni alama ya kushangaa. Kama ebo!Zero nfiyo sifuri au...!
Zero ya Fa Fa Fa au ipi unasemeaWameachia mwisho tukawapiga 7 zero
Ebo! Umeirudia tena! Ni alama ya kushangaa. Kama ebo!
Unasemea ya kwenye cheti wewe emmy [emoji23][emoji23][emoji23]Zero ya Fa Fa Fa au ipi unasemea
ebo!!! Nani kasema harakati za pimbi hazikuzaa matunda.! Ni alama ya kushangaa. Kama ebo!