Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,467
Emmy anamaanisha hiyo kumbe nyie mnasemea magoli lol. Hivyo mkawafunga 7 zero.Unasemea ya kwenye cheti wewe emmy![]()
Emmy anamaanisha hiyo kumbe nyie mnasemea magoli lol. Hivyo mkawafunga 7 zero.Unasemea ya kwenye cheti wewe emmy![]()
Zero = 0Emmy anamaanisha hiyo kumbw nyie mnasemea magoli lol. Hivyo mkawafunga 7 zero.
0 kwa 7 basi walikuwa hawachezi wamesimamaZero = 0
Wamesimama wapi? Walikuwa wqnajitutumua. Mbona Brazil alipigwa saba na mjerumani0 kwa 7 basi walikuwa hawachezi wamesimama
Mjerumani anga nyingine ile Daby ndio mana ni bingwa wa kombe la dunia na kombe la mabara.Wamesimama wapi? Walikuwa wqnajitutumua. Mbona Brazil alipigwa saba na mjerumani
Mabara ni kombe ambalo wala halina hata msisimko!Mjerumani anga nyingine ile Daby ndio mana ni bingwa wa dunia na kombe la mabara.
Msisimko wa coca cola au?
Au tena? Huu msisimko ni wa kipekee kwani ni wa asili! Huwezi kamwe ukaulinganisha na wa coca come aisee!Msisimko wa coca cola au?
Aisee huu uzi unaenda mdogo mdogo sanaAu tena? Huu msisimko ni wa kipekee kwani ni wa asili! Huwezi kamwe ukaulinganisha na wa coca come aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana sana unakuwa na kasi mida ya jioniAisee huu uzi unaenda mdogo mdogo sana
Jioni ni mida mizuri ya kutegaSana sana unakuwa na kasi mida ya jioni
Kutega nini nije nami tutege woteJioni ni mida mizuri ya kutega
Wote humu sikumbuki ni lini niliwajulia haliKutega nini nije nami tutege wote
Hali sio mbaya. Pole kwa kuwajibikaWote humu sikumbuki ni lini niliwajulia hali
Mwenyewe nasubiriaHali yangu unaitakia nini wewe? Kwa taarifa yako mie nipo nasubiri mgawo wa makinikia ili nikachenjue mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
You get what you work for not What you wish for 
Mwenyewe nasubiri kwa hamuHali yangu unaitakia nini wewe? Kwa taarifa yako mie nipo nasubiri mgawo wa makinikia ili nikachenjue mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiishi kwa sababu utamu wa makinikia haujawahi kumuacha mtu salama
Salama jamani?Haiishi kwa sababu utamu wa makinikia haujawahi kumuacha mtu salama