muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,542
- 3,587
Avatar yangu ikoje kiasi umesahau hata kuitikia salamu yangu
Wewe, umejuaje?Yangu mm kubwa kuliko yako wewe
Umejuaje bbc kuwa mi ni kibonge.Wewe, umejuaje?
Kibonge umeshiba, mi nakufahamuUmejuaje bbc kuwa mi ni kibonge.
Nakufahamu sana hata mimi ila ukibonge wangu sio mbayaKibonge umeshiba, mi nakufahamu
Mbaya kusema uongo emmyta, mimi najua kwa % mia kwamba hunijuiNakufahamu sana hata mimi ila ukibonge wangu sio mbaya
Hunijui najua ila uzi huu unanifurahisha sana!Mbaya kusema uongo emmyta, mimi najua kwa % mia kwamba hunijui
Sana, badala ya kukaa na kuzinzia kwenye kiti ni afadhali ukaja "wa mwisho ndiye mshindi" ukutane na akina emmy!
sana kuliko polisi waliotaka kupima mkojo kwenye kesi ya uchochezi
Uchochezi ule nitamfaninyia mshindi wa uzi huu!sana kuliko polisi waliotaka kupima mkojo kwenye kesi ya uchochezi
Mwewe ni jamii ya ndege ambao maisha yao hayatofautiani na wanachama wa kijani na njano.
Ndani humu watakuwa wazima tu bila shakaMwewe ni jamii ya ndege ambao maisha yao hayatofautiani na wanachama wa kijani na njano.
Mu wazima humu ndani?
Shaka ni juu yako, sisi sote wazimaNdani humu watakuwa wazima tu bila shaka
Wazima wote kumbe.. Basi tunashukuruShaka ni juu yako, sisi sote wazima