Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Sema tu siwezi wataja wengi wa kwanza ni wewe na dabyWatu wapi hao unawasemea mdogo wangusema tu.
Sema tu siwezi wataja wengi wa kwanza ni wewe na dabyWatu wapi hao unawasemea mdogo wangusema tu.
Daby na jakitoo hao ni sawa ila mimi ni kama wa nne huko.Sema tu siwezi wataja wengi wa kwanza ni wewe na daby
Huko hapana, njoo kwanguDaby na jakitoo hao ni sawa ila mimi ni kama wa nne huko.
Utundu kwa ubunifu wa mambo ya maenendeleo ni bora sana,Niue,nigalagaza,nikaange mahaba,mahaba nitafune.
Mahaba yanatakiwa uwe na utundu.
Kwangu ndio unataka uje mkuu.
Mkuu tena? Kwenye hayo mambo hakuna ukuu!Kwangu ndio unataka uje mkuu.
Ya! Kamanda kwa mtiriko nipo vyema....maranyingi hutokea watu wakiwa sharp kwa uchangiaji.Utundu kwa ubunifu wa mambo ya maenendeleo ni bora sana,
mkuu jitahidi kuquote post ya mwisho ili ilete mtiririko mzuri
Itawale ili tuweze kupata mshindi kwenye haya mashindanoYa! Kamanda kwa mtiriko nipo vyema....maranyingi hutokea watu wakiwa sharp kwa uchangiaji.
Amani itawale!!
Mashindano haya hakika ni mazuri.Itawale ili tuweze kupata mshindi kwenye haya mashindano
Mazuri saana mazingira ya pale hakuna joto mwaka mzimaMashindano haya hakika ni mazuri.
Mzima Mwanaume unatakiwa kufanya kazi kwa bidii na zote nguvu.Mazuri saana mazingira ya pale hakuna joto mwaka mzima
Nguvu za nini? Mwanaume mashine!Mzima Mwanaume unatakiwa kufanya kazi kwa bidii na zote nguvu.
Mashiine hiyo inakuwa ya nini ya kusaga au kukoboa nafaka.
Kukoboa nafaka ndo nadhani wanazungumzia mashine za namna hiyoMashiine hiyo inakuwa ya nini ya kusaga au kukoboa nafaka.
Hiyo ndio yenyewe sasa mana nasikia mashine mashine tuKukoboa nafaka ndo nadhani wanazungumzia mashine za namna hiyo
Tunawaona wengi wamepotea kwa sababu ya mashineeeeHiyo ndio yenyewe sasa mana nasikia mashine mashine tu
You get what you work for not What you wish for 
Mashine hii ya nafaka ninayoijua mimiTunawaona wengi wamepotea kwa sababu ya mashineeee
You get what you work for not What you wish for
![]()
Mimi mwenyewwe bado najiuliza kwann wapotee watuMashine hii ya nafaka ninayoijua mimi
Watu wanaisikia inaimbwa hadi kwenye singeliMimi mwenyewwe bado najiuliza kwann wapotee watu
You get what you work for not What you wish for 