Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,641
Singeli sijazisikia siku mingiWatu wanaisikia inaimbwa hadi kwenye singeli
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Singeli sijazisikia siku mingiWatu wanaisikia inaimbwa hadi kwenye singeli
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Siku mingi haujasikiliza redio za nyumbani bika shakaSingeli sijazisikia siku mingi
Bila shaka aliko redio hazikamatiSiku mingi haujasikiliza redio za nyumbani bika shaka
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Hazikamati au nafasi hapatiBila shaka aliko redio hazikamati
Hapati nafasi siku hizi ya kusikiliza radioHazikamati au nafasi hapati
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Radio gani ina wasikilizaji wengiHapati nafasi siku hizi ya kusikiliza radio
Wengi wanasikiliza Tbc [emoji12] ukweli na uhakikaRadio gani ina wasikilizaji wengi
Tbc taifa au radio mawinguuuWengi wetu husikiliza tbc taifa
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Tbc taifa na nyie huwa mnasikilizaWengi wetu husikiliza tbc taifa
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Mawingu [emoji3][emoji3][emoji3] kile ni kituo namba moja kwa habari za sirikaliTbc taifa au radio mawinguuu
Serikali haipendi kusemwa vibayaMawingu [emoji3][emoji3][emoji3] kile ni kituo namba moja kwa habari za sirikali
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Vibaya mtu kumsema kiongozi wakeSerikali haipendi kusemwa vibaya
Vibaya hivyo jamani not to that extent.Serikali haipendi kusemwa vibaya
Extent ndio nini mimi mwenzeni dictionary yangu imepotea bana.Vibaya hivyo jamani not to that extent.
Bana bana tu, italiwa na nyenyereExtent ndio nini mimi mwenzeni dictionary yangu imepotea bana.
Nyenyere hawa wanaokula sukariBana bana tu, italiwa na nyenyere
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Sana nimekumiss wewe kulikoni umekuwa adimu kiasi hicho.