muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,542
- 3,587
Meli ndo nini? Mshindi tayari nishapatikana!Wambuzi anastahili sifa lukuki,
Aisee Nimekumbuka dagaa ni chakula bora, muwa uliozamisha meli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Meli ndo nini? Mshindi tayari nishapatikana!Wambuzi anastahili sifa lukuki,
Aisee Nimekumbuka dagaa ni chakula bora, muwa uliozamisha meli.
Nishapatikana mimi hapa,japo sionekani kwa sura kama ibn warraq wa pakstan-uingereza.
Uingereza kuna nn tenaNishapatikana mimi hapa,japo sionekani kwa sura kama ibn warraq wa pakstan-uingereza.
Mshindi ni wambuzi
Wambuzi, thubutu yupo wang'ombe!Mshindi ni wambuzi
Tena na tena nitakupa ...ni sauti iliyosikika katika chumba cha wapenda nao..ibn warraq alikuwa mwandishi ayificha sura muda mrefu kweli kweli (alipata kuishi uingereza )muda mrefu.Uingereza kuna nn tena
Mrefu kuliko wote hapa ni nani?Tena na tena nitakupa ...ni sauti iliyosikika katika chumba cha wapenda nao..ibn warraq alikuwa mwandishi ayificha sura muda mrefu kweli kweli (alipata kuishi uingereza )muda mrefu.
Nimekumbuka vitabu vya kima na mamba.
Nani zaidi yangu mieMrefu kuliko wote hapa ni nani?
Miembe ni miti maarufu sana kanda ya ziwaNani zaidi yangu mie
Nani alipata kuwa mchezaji wa man United katika jiji la Manchester.Mrefu kuliko wote hapa ni nani?
Ziwa lipi? Lile lile nilijualo?Miembe ni miti maarufu sana kanda ya ziwa
Mie hupenda kusikiliza nyimbo za bi shakila zenye bembelezo la mahaba.Nani zaidi yangu mie
Mahaba niueMie hupenda kusikiliza nyimbo za bi shakila zenye bembelezo la mahaba.
Mahaba leo yameongelewa huku ndani
Huku ndani leo yameshamiri kweli hayo maongeziMahaba leo yameongelewa huku ndani
Maongezi kama hayo huwa yanakonga nyoyo za watuHuku ndani leo yameshamiri kweli hayo maongezi
Watu wapi hao unawasemea mdogo wanguMaongezi kama hayo huwa yanakonga nyoyo za watu
sema tu.Niue,nigalagaza,nikaange mahaba,mahaba nitafune.Mahaba niue