bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Bughudha bughudhi wanaopenda bughudhaSana sana sipendelei bughudha
Bughudha bughudhi wanaopenda bughudhaSana sana sipendelei bughudha
Bughudha za bbc yaani bila busu kwq chaliiBughudha bughudhi wanaopenda bughudha
Chalii wewe unaifahamu baikoko...?Bughudha za bbc yaani bila busu kwq chalii
Chalii, kwenye uzi huu kwa wapenda matusi.Bughudha za bbc yaani bila busu kwq chalii
Baikoko naijua nilikuwa natoka Nguvu mali kuangalia Baikoko amboni au mikanjuniChalii wewe unaifahamu baikoko...?
Mikanjuni huko hamna baikoko nenda mbagala rangi tatu ndio mpango mzimaBaikoko naijua nilikuwa natoka Nguvu mali kuangalia Baikoko amboni au mikanjuni
Mzima mzima utabebwa umbambiwe kwenye baikokoMikanjuni huko hamna baikoko nenda mbagala rangi tatu ndio mpango mzima
Mikanjuni,sahare...Ebana kunakipindi tulitembea usiku wa manane kwenda donge kuishuhudia Baikoko.Baikoko naijua nilikuwa natoka Nguvu mali kuangalia Baikoko amboni au mikanjuni
Kwenye baikoko ulishawahi kubambiwa mbona unanitishaMzima mzima utabebwa umbambiwe kwenye baikoko
Unantisha... Kanitisha na mm aiseeKwenye baikoko ulishawahi kubambiwa mbona unanitisha
Aisee kwa hiyo mmefikiri mimi ndiye nabambiwa? Nilimaanisha watoto wa kikeUnantisha... Kanitisha na mm aisee
kike imenishinda kutunga sentensiAisee kwa hiyo mmefikiri mimi ndiye nabambiwa? Nilimaanisha watoto wa kike
Sentensi zako hazina vitenzi vikurupushikike imenishinda kutunga sentensi
Vitenzi vikurupushi ndo vipi hivyoSentensi zako hazina vitenzi vikurupushi
Hivyo tulivisoma kipindi cha sadiki na chitemoVitenzi vikurupushi ndo vipi hivyo
Chitemo mie masikini uvivu wangu nyumbaniHivyo tulivisoma kipindi cha sadiki na chitemo
Nyumbani sasa sadiki ashiba kwa babaChitemo mie masikini uvivu wangu nyumbani
Baba na wewe unaweza ukawa muhengaNyumbani sasa sadiki ashiba kwa baba