Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Nilivyo mimi Nina mwili kama wa Elon Musk..wakati mwingine umasikini unatufa tuwe na miili ya kuhuzinisha sana...nachukia umasikini.Mi napenda mwili wa kawaida yani sio mwembamba wala mnene na ndivyo nilivyo.